Inazotakiwa ni official data na sio private data. Kama hvyo kila watu wajihisabu katika familia zao.
Mimi nimeuliza suala lakin sijapata jibu kabisa. Labda niliulize tena.
Kuna faida gani katika sensa yenu kutofautisha watu
1. Kijinsia
2. Kiumri
3. Kimaumbile (kwa maana kiulemavu.
Je tofauti hizo zinatofautiana na dini?
naombeni ufafanuzi wenu wa faida zake kiuchumi na kijamii