Waislam Waanza Sensa yao Nyumba Kwa Nyumba Dar

ni vyema wafanye hivyo...
mbona wakristu kila kigango inajulikana wako wangapi
na kila jumuia inajulikana ina waumini wangapi?

big up....
 
Watumwa wa majambazi wawili mmerudi tena, haya kaibuni osie. Mwizi wa kizungu na mwizi wa kiarabu wanawaendesha kwelikweli watumwa ninyi.
 
Hili ni bomu soon litamlipukia JK na serekali yake.Wao wamekaa kimya kama vile wanaishi Somalia na sio magogoni.
 
mamajack said:
eti wanadai wao lazima
wawe wengi maana wanaoa wake wengi na wanazaa watoto kila mwaka.

Hata mimi niliwasikia Jana.. Vichwa sijui huwa vinajaa nini mpaka kujisifu Unazaa Sana. Wakati Gharama za Maisha zinapanda. Zanzibar Kodi imepanda....

Watoto wao Wadogo Ngoja waanze Kusoma Form 1 ndo watajua
 
Binafsi nadhani wanachofanya ndugu zetu ni cha msingi ingawa utaratibu huo unaweza kuzua shida kidogo kwa watu wa dini tofauti ushauri wangu ni wajaribu kufanya kitu kama hicho wakiwa katika nyumba za ibada(misikitini) na ingekuwa rahisi zaidi kwao kwani wanaweza tumia utaratibu wa kuandaa fomu na kuwagawia waumini wajaze majina yao katika kila muumini mkuu wa kaya anaweza kupatiwa fomu hizo.Kwa kufanya hivyo mm nadhani itarahisisha sana hilo zoezi zima la kutambua idadi yao.
 
Yaani watu wana chuki sijaata kuona, juzi niliona wanasema radio imaan ifungwe kwa kuwa inapandikiza chuki sasa mnachokifanya hapa ni nini? kama wameamua kufanya hivo nyie inawadhuru kitu gani, kama hutaki wakuulzie aa kimya ndio njia ya kuishi kwa amani baina yetu! ni chuki chuki tu na maneno ya kejeli mtakufa navo vijiba vya roho !
 
Ha ha ha ha ha ha ha! Mpinga Kristo ameanza kazi yake rasmi. Ole wake asiyeinama na kumwabudu "mnyama" yule. Mkiona hayo, basi jueni mwisho u karibu.

Haya watu wa Mungu; akili kukichwa. Nyakati za mwisho hizo. Ama kuikubali chapa yake au mateso na taabu kwa uzima wa milele. Bwana Yesu na uje upesi - AMEN.
 
Yaani watu wana chuki sijaata kuona, juzi niliona wanasema radio imaan ifungwe kwa kuwa inapandikiza chuki sasa mnachokifanya hapa ni nini? kama wameamua kufanya hivo nyie inawadhuru kitu gani, kama hutaki wakuulzie aa kimya ndio njia ya kuishi kwa amani baina yetu! ni chuki chuki tu na maneno ya kejeli mtakufa navo vijiba vya roho !
ni kuwapongeza tu kwa uamzi ambao ulipaswa uchukuliwe siku nyingi kuluko kelele walizokuwa wakipiga.
 
Je, wanaihitaji sensa hiyo katika shughuli zao za kidini? Au mradi tu kutaka kujua idadi?!
Ili waje na data itakayowasidia kufanya yafuATAYO:
1. Kuanzisha movement ya kusilimisha wakristo wote
2. kujitenga na kuanzisha mapambano ili kuwa taifa la waislam waliojitenga na wakrito
3. kuomba upendeleo katika nafasi za utawala serikalini, bungeni, nk.
4. kuanzisha vulrugu za kuitangaza TZ ka Islamic country
5. sifa za kijinga (kujitapa mbele ya watu kuwa sisi waislam ni wengi TZ)
Moja ya hoja hizo au zote inawezekana ikawa sababu ya wao kuomba kujua idadi.
La msingi ni uthibitisho kuwa wazungu na waarabu walitupiga changa la macho na zaidi kwa waarab.
 
kama sheria inawaruhusu na wanaongozana na serikali za mitaa mbona haina tatizo kujua waumini wao ni wangapi. mbona makanisani wanahesabiwa kila jumapili.

mchangiaji alietoa mfano kwamba "isije ikawa kama wakati wa wana wa israel kuondoka utumwani Misri na kuweka damu kwenye milango kutofautisha nyumba za wa israel na wamisir" kanivunja mbavu kweli ingawa ikijatokea hivyo we shall have to laugh at the back of our face

kama makanisani wanahesabiwa kwa nini waislamu wasihesabiwe misikitini? ingawa mimi siamini kama ni kweli uongozi wa kiislamu unapita mitaani kuhesabu maana kwangu mimi huo ni udhaifu mkubwa kwa upande wao maana wangeweza kwa urahisi tu kuhesabiana misikitini kwa kweli.. na mie naona kama vile ndo alama zinawekwa halafu baadae ni 'booom, booom booom!!' kama wale boko nanihii.... Mungu aepushilie mbali...
 
ni vyema wafanye hivyo...
mbona wakristu kila kigango inajulikana wako wangapi
na kila jumuia inajulikana ina waumini wangapi?

big up....
hawapiti kugonga nyumba za watu kutaka kuhesabu... wanahesabiana huko huko makanisani au vigangoni..
 
Waislamu wepi wanaohesabiwa? maana kuna waislamu wa Dubai hawa hawana sigida licha ya kwamba wana ngozi nyeupe na kuna hawa Waislamu wa Shura ya Maimamu ambao wao mpaka mtoto wa kike ana sigida kubwa juu ya paji lake la uso!!
 
sasa kama kichwani mwao wameshaamini kwamba waislam ni wengi, hata ikitokea sensa ya kidini wanayotaka ikatokea wameonekana wachache, watayapokea matokeo?....cha ajabu hawajui kuwa, idadi kubwa ya waislam inayoweza kuwa inaongeza idadi yao kuwa kubwa, ni zanzibar, zanzibar wakijitoa kwenye muungano waislam watakuwa wachache sana hapa tz.....cha ajabu sasa, hata waislam wa bara wanasapoti zanzibar ijitenge....kuna shehe mmoja wa msikiti wa dsm hapo, ameonekana kabisa kusapoti mambo ya wanauamsho....ajabu sana.
 
Back
Top Bottom