Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,248
- 5,849
Kuweka mambo sawa hili tuendelee vizuri ni kwamba Jews are named after Judah and not otherwiseSeth saint huo mti wa familia uliouweka hapo ni mahsusi kwa ajili mwisho wa siku kufika kwa Yesu Kristo. Essau uzao wake haufiki kwa Kristo.
Jee Ishmael ambaye Yoda alimtaja hapo awali hakuwa na watoto? Kufupisha maneno ni kwamba tunajadili wayahudi na uyuda kwa wakati mmoja.
Jee kila Myahudi anatokana na Israel na kama Israel ni taifa la watoto 12 kutokutajwa kwa hao wengine kunawatoa kwenye orodha ya watoto wa Israel??
Barack Obama ni black au mzungu?Mama yake ni British kwa hiyo ni chotara wa kiarabu
Ndo mnawafanyia hivo?Israeli haiwezi kushinda vita yoyote maana chuki walionayo imewatoa akili🤣🤣🤣🤣
View attachment 2970794
Jews in Waisrael wote, hilo ni jina waliloitwa baada ya kuvamiwa na falme zao zote mbili kutwaliwa na Assyrians.Kuweka mambo sawa hili tuendelee vizuri ni kwamba Jews are named after Judah and not otherwise
Si kila myahudi anatokana na Israel(Jacob) labda hawa wayahudi ambao wanasemwa wayahudi kwa kufuata misingi ya Judaism(religion) ambayo hii inatoa nafasi kwa kila mtu mpaka wamakonde,wasukuma na wengineo na wazungu wakiwemo.
Watoto wote wa Jacob(12) wote ni wana wa waisrael kwahiyo kama na wewe ni miongoni mwao basi ni mwana wa Israel(biblical explanation) lakini wewe si Jew kama sio mtoto wa uzao wa Judah na si muisrael kama sio member wa modern Isreal ambayo imetengenezwa 1947(kama ntakuwa nimekosea mwaka mtaniweka sawa)
Kumuangalia Ben Gurionanataka kufanana na watu wa Rusia, PM mstafu Yehud Barak anafanana na waarabu hana hata chembe ya uzungu, akina ERIO Shaloon walikuwa wanafanana na wazungu wa Russia, Netanyahu ni mchanganyiko nywele zake zina asili ya uarabu lakini watu kama akina Ben Gantz, Shaked Lapid ni wazungu kabisa.Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
Kama unaongelea invasion ya Assyrians kueleza wayahudi ni watu gani ntakubaliana na wewe kwa maana sijaisoma vizuri na kujua nini kilitokeaJews in Waisrael wote, hilo ni jina waliloitwa baada ya kuvamiwa na falme zao zote mbili kutwaliwa na Assyrians.
Ni kama vile jina Uganda lilivyotokana na ufalme wa Buganda lakini kuna makabila mengi zaidi ya baganda Uganda
No. Israelis are only the citizens of the State of Israel.Jews in Waisrael wote,
Michel Aoun Rais wa Lebanon na Hafez Al assad aliyekuwa rais wa Syria wana tofauti gani na Netanyahu?Dunia ina mambo sans,watu wanaanzaje kuondoka wakiwa waarabu wanarudi wakiwa Wazungu.yani ukanda wote una waarabu halafu Taifa moja tu ndio lina wazungu-haya ni maajabu.
Hata Afrika mataifa ya waarabu yapo ukanda moja,sasa ilikuwaje kukawa na wazungu katika kati ya Waarabu????
Mwenye uelewa anielemishe jamani.
Huyu kavunja rekodi kabisa maana ana damu ya Scottish,Swiss, German, Irish, black, na hata jewBarack Obama ni black au mzungu?
Ameuliza ni mwarabu au mzunguMuktadha wa swali umeuelewa??
Jee yeye siyo mwarabu!!??
Kimaandiko Falme za Yuda na Israeli ziligawanyika baada ya kifo cha Mfalme Sulemani. Kama Israeli ilivyogawanywa kimapokeo kama makabila 12, tunaona Yuda na Benyamini pamoja na sehemu ya Lawi, baada ya mgawanyiko, kuwa Ufalme wa Yuda. Makabila mengine yalidumisha muungano kama Ufalme wa Israeli..Jews in Waisrael wote, hilo ni jina waliloitwa baada ya kuvamiwa na falme zao zote mbili kutwaliwa na Assyrians.
Ni kama vile jina Uganda lilivyotokana na ufalme wa Buganda lakini kuna makabila mengi zaidi ya baganda Uganda
Barack Obama ni mweusi tu arudi atafute mababu zake walikuwa wa wapi.Wazungu wameshamkataa ndio maana anaelezwa kama black American katika machapisho mbali mbali toka enzi akiwa Havard university.Huyu kavunja rekodi kabisa maana ana damu ya Scottish,Swiss, German, Irish, black, na hata jew
Sijui tumuitaje mimi sielewi ila namuona ni black kwa muonekano
Kuchanganya damu ni shida sanaBarack Obama ni mweusi tu arudi atafute mababu zake walikuwa wa wapi.Wazungu wameshamkataa ndio maana anaelezwa kama black American katika machapisho mbali mbali toka enzi akiwa Havard university.
Hakuna mzungu atakubali utambulisho wake uwe prefixed au padded na neno black ndio maana ata yule mke wa mtoto wa malkia wa uingreza licha ya kuwa karibu na sifa zote za wazungu bado walimkataa kwa sababu ya ancestors wake kuwa blacks
Wazungu wanazo feeling zao za kwamba ni superior ndio maana hawataki huwachanyie madesa kwenye race yao.Kuchanganya damu ni shida sana
Wakiwa watoto mpaka wanakua ni kunyanyaswa tu
Myahudi ni mtu yeyote aliezaliwa an Mama wa Kiyahudi. Uyahudi sio adaptive religion, ni dini inayorithiwa kidamu kutoka upande wa mama.Ndiyo nataka kujua sifa za mtu kuwa Myahudi ni zipi. Maana tukizijua hizo ndiyo tunaweza kujua wayahudi hasa ni kina nani!!??
Tatizo lako unaandika pumba.Sawa ndezi mwenzangu. Tunaelewana Lugha...
Pumba ni chakula bora sana kwa mifugo. Naandika pumba kwa kuwa wala pumba wapo wa kutosha tu hapa JF.Tatizo lako unaandika pumba.
Mkuu mbona nimeku quote nikwambia walikuwa na muingiliano wa kuowana na kuzaliana. Nikakwambia tena wao weupe nikimaanisha wazungu, waarab waajemi nk ndo wamezaliana sana kushinda walivyozaa na sisi weusi.Haikuwezekana waarabu kuzaa hata kwa siri na wasio waarabu. Unataka kusema haikuwezekana kabisa kwa waarabu kuwa na mahusiano na "wazungu"?
Kinachokufanya uamini kuwa kina Netanyahu ni wayahudi typically kama ulivyosema ni nini...muache upotoshaji, kina netanyahu ni wayahudi typically, kuhusu uwepo wa wayahudi iran hata nchi zingine wapo wengi tu anzia urusi na nchi zote zilizokuwa ussr, amerika, canada, south afrika mpaka nigeria wayahudi wapo ambao ni raia halali wa nchi hizo. Usishangae hata kenya watakuwepo. Taifa la kiyahudi israel kwenyewe kuna waarabu tele raia wa taifa hilo