Adolf Hitler yeye alipambana na wazungu wenzake kutoka Ugiriki, Poland, Uturuki na wengine wengi wa ulaya mashariki waliombilia katika nchi za magharibi haswa Ujeruman kusaka maisha.Adolf Hitler akifufuka akakuta siku hizi kuna wayahudi weusi, wazungu, waarabu, wajapani na wachina atachanganyikiwa.
Hivi Ottoman alikuwa anatawala wapi huko UIaya ya Mashariki na alitokea wapi??...matesa na mauaji yaliofanywa na utawala wa Ottoman huko Ulaya mashariki.
Kwakuwa umekubali kuwa wewe ni Ndezi inatosha.Kama naishi kati ya Jumuiya ya Ndezi kuwa ndezi si ajabu. Ukiona umeelewa Lugha niliyotumia kuandika nilichoandika, basi wewe jua kuwa ni ndezi mwenzangu.
ottoman empire ilikua chini ya waturuki kuna had series yake na wairan na waturuki sio warabu.mim nazani shida ya wa wengi tunapenda sana kuchanganya Race ya mtu na Dini kuna jamaa apo juu naona hoja zake anajibu vizuri sanaHivi Ottoman alikuwa anatawala wapi huko UIaya ya Mashariki na alitokea wapi??
Wairan na waturuki ni waarabu ama si waarabu?
Yap.ottoman empire ilikua chini ya waturuki kuna had series yake na wairan na waturuki sio warabu.mim nazani shida ya wa wengi tunapenda sana kuchanganya Race ya mtu na Dini kuna jamaa apo juu naona hoja zake anajibu vizuri sana
Kijana uko mtupu sana kwenye historia, kichwa chako ni fuko la conspiracies nypesi.Adolf Hitler yeye alipambana na wazungu wenzake kutoka Ugiriki, Poland, Uturuki na wengine wengi wa ulaya mashariki waliombilia katika nchi za magharibi haswa Ujeruman kusaka maisha.
Ndo Adolf Hitler akaona ujinga mtupu watu watoke mashariki kwenda magharibi kuchukua fursa za raia wake. Akaamua anzishe operation ya ku deal nao kwa kuwachinja na kuangamiza. Hata leo bado kuna wazungu kibao kutoka ulaya mashariki wanaokimbilia magharibi na haswa Ujerumani na Uingereza.
Sasa baada ya operation ile kuisha, hapo hapo wazee wa kazi wakageuza na kudai wale waliouwawa walikuwa ni wayahidi nk. Ili wajifanya wanatafuta njia ya kuwarudisha kwao waliobaki (hapo sasa ulikuwa unapangwa mpango wa kupeleka wazungu) kwa kisingizio cha wayahudi walionusurika na operation ya Adolf Hitler.
Ila kiuhalisia Hitler aliuwa wazungu wenzake kutoka East waliokimbia matesa na mauaji yaliofanywa na utawala wa Ottoman huko Ulaya mashariki.
Sawa ndezi mwenzangu. Tunaelewana Lugha...Kwakuwa umekubali kuwa wewe ni Ndezi inatosha.
mim mwenyewe nisiwe muongo kweny issue ya wa israel kuwa na muonekana wenye watu tofauti tofauti uwa inanifikirisha kidogo mfano mcheki benayoun ma Benjamin ni watu walili tofauti kwa muonekano ila wote ni jewish ngoja tuendelee kusoma comment tunaweza kupata kituYap.
Maana nadhani pia historia inasimuliwa na nani pia inaamua mtazamo wa mtu kuhusu jambo husika. Maana kusema waisrael ni wazungu na si wayahudi ni jambo linashangaza kidogo.
Hapa kiongozi twende vizuri kwanza.Waisrael(Modern Israel) wanaweza kuwa wazungu(infact kwa muonekano wao ni wazungu).Yap.
Maana nadhani pia historia inasimuliwa na nani pia inaamua mtazamo wa mtu kuhusu jambo husika. Maana kusema waisrael ni wazungu na si wayahudi ni jambo linashangaza kidogo.
Hata Tanzania kuna watutsi, warundi na wagandaKatikati ya mitaa ya Tehran kuna masinagogi takribani 35 ambayo ni maeneo ya ibada ya wayahudi wakiiran inasemekana mpaka mwaka 2021 takribani wayahudi 8000-9000 bado wanaishi na kufurahia maisha ktk Tehran huku wakiwa na uraia wa iran wa kuzaliwa wengi wao wakiwa ktk kazi za sayansi na utabibu. Japo wengi wamehama na kwenda nchi za magharibi na israel ila hao waliobakia wanajivunia kuwa wairan.
View attachment 2970638
Picha Rais wa Iran Muhammad Khatami alipohudhuria sherehe ya mwaka mpya wa Kiyahudi kwenye synagogue Tehran, akiwa na Rabi Myahudi -Muiran.
Hakuna hiko kuna ma zionist na wayahudi pure,,, wayahudi pure kwa sasa wanaona ma zionist wanaharibu utambulisho wao,,........na wa zionist ndo wengi wenye mambo ya kishetani maana wengi sio wayahudi pure , ni wazungu wanaojificha kwenye kichaka cha uyahudi kwa maslahi yao binafsiSasa hapo ndiyo Iran iishinde Israel katika vita?
Wayahudi wote dunia nzima wanafahamiana! Ukimgusa mmoja umegusa wote!
Ndiyo tunataka kujua ni mfumo au njia gani inayotumika kujua huyu ni "Pure Jews" na huyu ni "Zionist". Kwanza tangu mwanzo wa mjadala tulikuwa na "Jews" na "Judaisim" sasa wewe umetuletea tena "Zionist". Utofauti ni nini??Hakuna hiko kuna ma zionist na wayahudi pure,,, wayahudi pure kwa sasa wanaona ma zionist wanaharibu utambulisho wao,,........na wa zionist ndo wengi wenye mambo ya kishetani maana wengi sio wayahudi pure , ni wazungu wanaojificha kwenye kichaka cha uyahudi kwa maslahi yao binafsi
Ottoman Empire ametawala bara la Asia, ametawala Africa na Southeast europe. Na utawala wao ni wa muda mrefu zaidi. I mean ametawala almost miaka 700. Ottoman ana asili ya uturuki haswa kwa upande wa Ulaya.Hivi Ottoman alikuwa anatawala wapi huko UIaya ya Mashariki na alitokea wapi??
Wairan na waturuki ni waarabu ama si waarabu??
Mashaka yako yananakuzwa na conspiracies zilizojaa kichwani mwako.mim mwenyewe nisiwe muongo kweny issue ya wa israel kuwa na muonekana wenye watu tofauti tofauti uwa inanifikirisha kidogo mfano mcheki benayoun ma Benjamin ni watu walili tofauti kwa muonekano ila wote ni jewish ngoja tuendelee kusoma comment tunaweza kupata kitu
Kwa upande wa Asia na mashariki yake ya kati ametawala nchi nyingi baadhi ni Saudi Arabia, Israel (na Palestina yake kwa ujumla), Jordan, Iran, Iraq kashuka hadi india (upande ambao sasa ni Pakistan). Hapo nimezitaja baadhi tu kwa uchache.Hivi Ottoman alikuwa anatawala wapi huko UIaya ya Mashariki na alitokea wapi??
Wairan na waturuki ni waarabu ama si waarabu??
jina lao sahihi ni Wayahudi ama ni Mayahudi??Wayahudi ni watu waliotawanyika maeneo mbalimbali duniani....mayahudi wengi...
Israeli ina idadi kubwa ya Wayahudi wa Asheknazi (na wengi wa wale walio na mamlaka ni Asheknazi, chanzo kikuu cha migogoro katika Israeli). Lakini karibu nusu ya wakazi wa Israeli ni Wayahudi wa Mizrahi ambao ni asili ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini. Israeli pia ina idadi kubwa ya Wayahudi wa Ethiopia. Makundi haya yote yanatoka katika asili tofauti za kitamaduni, lakini wote ni Wayahudi wa Halakhically.Ndiyo tunataka kujua ni mfumo au njia gani inayotumika kujua huyu ni "Pure Jews" na huyu ni "Zionist". Kwanza tangu mwanzo wa mjadala tulikuwa na "Jews" na "Judaisim" sasa wewe umetuletea tena "Zionist". Utofauti ni nini??
Wazungu ni neno pana sana. Kuna Spanish, Wareno, Wajerumani, Anglo-Saxons, Slavs, Ukranians, wagiriki, gypsy, hadi baadhi ya waturiki n.k Sasa labda utuambie Jews/Wayahudi wanaweza kuwa wazungu wapiHapa kiongozi twende vizuri kwanza.Waisrael(Modern Israel) wanaweza kuwa wazungu(infact kwa muonekano wao ni wazungu).
Shida ni kusema eti ni wayahudi hapo ndipo watu watakumaliza(Japo sijawahi kuelewa logic ya watu kugombania kuwa wayahudi)
Ancient Israel(I mean the one recorded in holy books) inaweza kuwa tofauti na hii modern Israel japo ukitumia ushahidi wa kijiografia zote zinaweza kuwa zinapatikana mashariki ya kati.Ndio maana kuna utata mwingi kueleza Israel ni nini na wayahudi ni nani na nani