Waingereza wanaichukia Israel kuliko Iran

Waingereza wanaichukia Israel kuliko Iran

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,601
Reaction score
18,239
Takwimu zilizofanywa zimeonyesha kuwa raia wa nchi ya Uingereza barani Ulaya wanaichukia zaidi nchi ya Israeli na watu wake kuliko raia wa Taifa la Irani.

Takwimu zinaonyesha ya kwamba asilimia 38% ya Waingereza wanaichukia Israel na watu wake ikilinganishwa na asilimia 33 ya Wairani ambao wanaichukia Israeli.
 
Tanzania ilivyofuta uhusiano Wa kidiplomasia na israel,waziri mkuu wa Israel kwa wakati huo aliwauliza waandishi wa habari, Tanzania ipo wapi kwenye ramani ya dunia?
 
Hizo takwimu zako zilifanywa na nani,na wapi na walitumia nini kupata hizo takwimu na source ya habari yako ni wapi????Au umejitungia na kutuletea hapa kutokana na chiki zako dhidi ya Israel????
Takwimu zilizofanywa zimeonyesha kuwa raia wa nchi ya Uingereza barani Ulaya wanaichukia zaidi nchi ya Israeli na watu wake kuliko raia wa Taifa la Irani.

Takwimu zinaonyesha ya kwamba asilimia 38% ya Waingereza wanaichukia Israel na watu wake ikilinganishwa na asilimia 33 ya Wairani ambao wanaichukia Israeli.
 
amelaaniwa anayeichukia Israel na amebarikiwa anayeipenda Israel na kuiombea......hizo hadithi zako ni za uongo Uingereza ni moja ya taifa lenye waisrael wengi ulaya na ni washrka wa mda mrefu
 
Back
Top Bottom