Habari!
Kama mnavyojua kumekuwepo na tabia ya Uingereza kufanya vurugu ndani na hata nje ya uwanja, hasa mashabiki wao, nafikiri wanaweza kuwa wanafuatiwa na mashabiki wa Uturuki.
Sasa juzi wamepamia wababe wenzao wakali wa silaha nzito, taikwondo, karate na mapigo mazito namanisha Urusi nyenye nguvu. Aisee waingereza, walichokozwa na wakapigwa wao, hii ilitokea baada ya shabiki wa Urusi kurusha kitu chenye miale ya moto upande wa mashabiki wa Uingereza, ndipo waingereza hao waka react, bora hata wangekausha maana timbili lake aisee bwashee lilianzia uwanjani na kipigo rasmi kiliendelea nje.
Ushauri
Waingereza wawe wanaangalia watu wa kuwaanzishia vurugu, Hawa watu wa Asia ni hatari mno.
Adhabu wapewe wote so Russia peke yake.