hawa wapo wapi mkuuWapi Manety, Jerry Nashon Dudumizi, Nico Zengekala, Roy Bashekanako, Bitchuka, Benno Villa, Eddy Sheggy, Gotagota, Mohammed Shaweji, Kida Waziri, Nana Njige, Kasaloo Kianga, Skassy Kasambula, Kabeya Badu, King Kikii, Malik Star, Zahir Ally Zorro, Marijani Rajabu, TX Moshi, yaani list ni kubwa tu. Mkuu hapo umechemsha, hawa Boys II Men are nothing compared to hizo zana nilizokutajia. Tupende asili yetu tusiwe watumwa wa kupenda vya nje kila kukicha kwani tunaonekana wajinga wa kutupwa. Kumbuka: A man without a past knowledge of his history is like a tree without roots. Jivunie asili yako.
Huyu Judy Boucher naona alikuwa anakumaliza kabisa maana umeshawahi kumtaja pia siku za nyuma lol!
Hizi nazo ni nyimbo nzuri sana mkuu nilitoa muongozo tu wa nyimbo za zamani kidogo nawe umeongezea imekua vema. Kwako wewe boys II men are nothing lkn kwa wengine ni furaha yao kama ilivyo kwako. So kuhusu asili hiyo ni mada mpya tutaizungumzia siku nyingine rafikiWapi Manety, Jerry Nashon Dudumizi, Nico Zengekala, Roy Bashekanako, Bitchuka, Benno Villa, Eddy Sheggy, Gotagota, Mohammed Shaweji, Kida Waziri, Nana Njige, Kasaloo Kianga, Skassy Kasambula, Kabeya Badu, King Kikii, Malik Star, Zahir Ally Zorro, Marijani Rajabu, TX Moshi, yaani list ni kubwa tu. Mkuu hapo umechemsha, hawa Boys II Men are nothing compared to hizo zana nilizokutajia. Tupende asili yetu tusiwe watumwa wa kupenda vya nje kila kukicha kwani tunaonekana wajinga wa kutupwa. Kumbuka: A man without a past knowledge of his history is like a tree without roots. Jivunie asili yako.
Hizi nazo ni nyimbo nzuri sana mkuu nilitoa muongozo tu wa nyimbo za zamani kidogo nawe umeongezea imekua vema. Kwako wewe boys II men are nothing lkn kwa wengine ni furaha yao kama ilivyo kwako. So kuhusu asili hiyo ni mada mpya tutaizungumzia siku nyingine rafiki