Waifu Kanifuma Kanishikia Bango


Kuku wewe

Mma kabisa

Samahani nina frustrations tu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] funguo wapi wakati wewe upo ndani...nimecheka hatari. Watu walozoea wizi utawajua tu maana hapo hakukuwa hata haja ya kufungiana na makufuli

Kama beira london baby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh huku ni stress free
 
Inaonekana we ni mmbea kuliko hata waifu wako kwa mwandiko huu
 
alafu jamaa uache ujinga wako? ninesoma nacheka sana kuona mtoa bandiko ni ww nikajua yale yale ya porojo ila nimecheka sana
 
Nitakuja uniazime hii CD nikaicheki mwanzo hadi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…