Waifu Kanifuma Kanishikia Bango

[emoji23] [emoji23] [emoji23] funguo wapi wakati wewe upo ndani...nimecheka hatari. Watu walozoea wizi utawajua tu maana hapo hakukuwa hata haja ya kufungiana na makufuli
Sasa si nilikia nadanganya
 

Watu wengine ni wanasikitisha sana. Sijui wamerogwa? Yaani unapoteza muda wako kuandikia utumbo kama huu JF ili iweje? kwa manufaa ya nani? unajidhalilisha tu. Tumeshasema mara nyingi hapa, hayo ni mambo yako binafsi. Sasa sisi yanatuhusu nini? Peleka kule facebook hizo habari zako za umbeya. I say again, It is your private business. Hayatuhusu.
 
Caution: Unapoingia Love Conect Usiwe Serious Sana, Haya Mambo Yapo Na Yanatokea Watu Na Hii Ni True Story Kabisa.
Sijasema hazitokei.

Ila ni kwanini kila siku mikasa inakukuta wewe tu.
 
Sijasema hazitokei.

Ila ni kwanini kila siku mikasa inakukuta wewe tu.
Just a writter, kama ii kuna mwanangu ilimkuta mwaka jana ndo kanimegea stori, nkaona niilete apa watu wapunguzie stress bahati mbaya wew ikakupa stress, take it iz
 
Just a writter, kama ii kuna mwanangu ilimkuta mwaka jana ndo kanimegea stori, nkaona niilete apa watu wapunguzie stress bahati mbaya wew ikakupa stress, take it iz
Yeah man, bullshit tends to stress me out. And this right here is whole lotta bullishit.
 
Umetisha unajua adi kizangere, maanaake nin
 

gwangaeto mi mpaka sasaivi sijakusoma afu naona unatuchosha sana maana uliana

Naona Miaka 30 ileeeee

Huyu kijana mchota maji 'kanilia' mke wangu

huku kote tumekuvumilia now unatuleta huku!
 
gwangaeto mi mpaka sasaivi sijakusoma afu naona unatuchosha sana maana uliana

Naona Miaka 30 ileeeee

Huyu kijana mchota maji 'kanilia' mke wangu

huku kote tumekuvumilia now unatuleta huku!
Tatizo lenu jf badala ya kukoment story mnamtafuta m2, sijui niwasaidieje, ata beira baby alikua na nyuzi kali sana za kuelimisha watu lakini cha ajabu mkamshambulia tu,.

Katika stori zangu ukikaa kwa makini ukalegeza baadhi ya nati katika vyima vyako(tunajua wote vyuma vimekaza) utajifunza kitu, lakini ukileta ugumu na hali hii ngumu utaambulia patupu na kesho naleta mrejesho wa kijana mchota maji.
 
Jf nw days inapoteza radha kabsa watu wazma tunanyweshwa chai kavu namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…