Waifu kajanjaruka!!!


kazi kweli kweli mkuu
 

We hauoni akimnyima password ndiyo nyumba itakuwa haina amani, yaani anaanzaje kumnyima? Wewe bwananaako akikuomba simu yako ya mkononi ghafla bina vu wakati unajua kuna kijimeseji cha mpango wa kando haujakifuta utafanya nini?...utamnyima?..Na unapomnyima utatoa excuse gani?!!!
 

Mh..namshukuru Mungu sinaga mpango wa kando ila kwa mazingira haya hasimpe...unajua huku jf kuna utani mwingi sana na huwezi kuzuia lakini mpango wa kando waweza kumzuia asitume sms..mkewe ajifunze kumwamini mmewe
 
Vibaya ivo mpe mwenzioo, usimnyimee mna share kitandaa nini username na password, ebu mpe usimkere...
 
Muulize vya nini akijibu vyema we mpe
 
dah.........haya mambo ya ndoa ni magumu sana kwa staili hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…