Waifu kajanjaruka!!!

Usimpe, shauri yako! akizikuta zile pm itakuwaje? hivi ulishajifunza kutandika kitanda? anza kumtandikia mkeep bize asahau kukuomba pasiwodi
 

Daaa, hiyo ya baba mkwe siikumbuki mkuu, dingimkwe mzuri sana huyo akiona kitu cha maana anakusakizia mzigo, huyo anafaa. Hiyo ya sudani naikumbuka mtu wangu, daaah! Umenikumbusha kumbe hata mimi siko salama humu, kwa maana namimi huwa napost ujinga sku zingine, daah, hizo akiona we mwambie ni utani tu....Lakini mwanaume ulifunguka mpaka bei...dah! You have one hell of an explanation to dom mpwa wangu!
 
toba!!! na wewe umeingia lini huku?nani kakufundisha?ni kabanga au mzizi mkavu?au ni mashoga zako heaven on earth na valentina?lakini nina wasiwasi na daud omar pia,labda kalia weeeee mpaka ukakubali akufundishe jf

Hata siku ulivyomsemaga Baba nilikuwa nshajiunga ila sikujua ni wewe...kuomba password nilikuwa nakutega tu...Sasa Leo nimekujua ...
 
Khaa!
Kozo Ozonto unajisaili kumpatia Username na password yako ya Jf! Why?
Au una kampango ka kushinda piemo?
...
I hope kuna mtu kamstua! Na alianza mwenyewe kusema "mme wangu time zote yupo JF!"
...
Dah! Kama ni kweli amekwambia hivyo, usipompa or ukichukua mda kumpa atakutilia mashaka kias kwamba ukichelewa or kumkosea kidogo tu atahusisha! Na hiyo ni mbaya kwa ndoa yenu! Uaminifu ndio mpango mzima ktk ndoa!
...
Ningekushauri umpatie atakacho kabla ya kupost hii thired!
...
Kwavile maji yakimwagika hayazoleki! Mpatie hata sasa but uhakikishe unamsetia 'wapsite' or 'touch' but kama unamajanga ukimsetia 'destop version' ndio umejimaliza!
 
Hata siku ulivyomsemaga Baba nilikuwa nshajiunga ila sikujua ni wewe...kuomba password nilikuwa nakutega tu...Sasa Leo nimekujua ...

basi yaishe mama sirudii tena,njoo basi tuyamalize
 

dah mkuu umeona sasa mambo yanavyokorogana?
 
khaaaa!!!!!!!!!!!! kumbhe ni wewe,,,,,,,,,,,,,,sasa utakoma uliko peleka mboga ukale huko huko
kwanza kbs nani kakwambia uje uanike mambo ya home hapa jamvini??

wallah leo ama zako ama zangu

Umembamba kiutamuuuu.....
 
Usimpe password wala username...kwasababu unaweza kuvuruga ndoa yako..pamoja na kwamba kuna ya kweli ushawahi post lakini pia kuna utani Kati ya waja jf..Sasa kila ukitaniwa utakuwa unaenda kumpa maelezo?...lakini poa kama kuna sehemu humtoshelezi jitahidi kubadirika pia...kashashtuka huyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…