Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Nina sita kusema hao ni Majizi.. Kamwe sitakuja kurudia kukopa Bayport. Labda atakuwa mjukuu. Wale jamaa siyo niko huku Swax walinipandishia makato,kama haitoshi nikataka nirudishe mkopo wao eti nilipe za kwenye salary slip.Nilienda mpaka Headquarter nilikuta madudu matupu. Wabuluze mahakamani kama kwnye salary slip deni halisomi. Wezi wale sitakuja kopa tena kwao na wewe kama haujakopa usiende wapigaji wale.
Swala lako linatatulika nenda kwenye ofisi zao waangalie kwenye system.. watakurefund kama wamezidisha ni system error.. BAYPORT SASA MAKATO YAKO CHINI NA HAKUNA LONGO LONGO.. kwa maelezo zaidi mtu akitaka ani PM
Pole sana but nenda kachukue barua kwenye kampuni husika ya kuonesha kwamba umemaliza deni na huna deni lolote kwao then hiyo barua peleka ofisi ya HR halmashauri kwako watasitisha mara moja hayo makato kwenye Lawson then sasa dai hela yako iliyoenda Bayport wakati huna Deni tatizo kubwa la Walimu hamfuati procedure mnabaki kulalamika tu issue zingine kusolve ni simple mno eg hyo issue yako ni dk 1 tu inakuwa imeshaisha vilevile kabla hujakopa sehemu yoyote nakushauri uwe unaomba ushauri ofisi ya Utumishi kwani wao wanajua Taasisi zote za fedha zone nazokopesha zenye riba kubwa na zenye nafuu zenye matatizo na zisizokuwa na matatizo kwani hudeal hudeal moja kwa moja kuingiza makato ya watumishi kwenye Lawson.
mkuu mi wife anakatwa pesa na bayport wakati hajawahi kukopa huko ..hii inakuaje?
Hawa jamaa wezi nilikopa mil 1 na laki5 salary slip imekuja na deni la milioni 38 na laki saba.
Nilienda kuwaona ili warekebishe hadi sasa salary slip bado inasoma hiyohiyo milioni 38Inashangaza kuona Wizi huu Mkubwa wanaofanyiwa watumishi na serikali Ipo, hii kampuni inalalamikiwa sana na ni ya kinyonyaji, mfano katika wilaya Tandahimba watu wameingiziwa fedha kinyemela bila kuomba na kutakiwa kulipa mara 5 yake...Kama Hitla Aliangushwa Nao Wasijiamini saana.