Mjukuu wa bibi Pili.
Member
- Dec 21, 2011
- 71
- 75
Tangu kuanza kwa kampeni za nafasi ya ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali kwa mgombea wa Chadema Joshua Nassar,inaonekana kama vile wanausalama wa Chama wanashindwa kushauri mambo muhimu na ya usalama kwa mgombea wetu.
Niwakumbushe kidogo hapa wajibu wenu licha ya kwamba mimi sijasomea hayo mambo. Tumeona mgombea akiruhusiwa kubebwa juu mara kadhaa, ni kweli hilo jambo jema kwa kuwa wapiga kura wanamkubali sana, hali inayowapatia vichomi chama cha kijani. Naombeni msiruhusu tena hiyo hali kwa kuwa mtu anaweza kujipenyeza kama mshabiki kumbe ni pandikizi na akamfanyia kitu kibaya mgombea wetu.
Pigeni marufuku mara moja hiyo hali na ulinzi wa red guard uongezwe kwa mgombea ni hayo tu.
Hivi nini kilitokea jana kwenye kampeni za CDM? Ilikuwa purposely done au vipi manake niliona kwenye TV kama vile kampeni hazikuwa organised jamaa anazunguka zunguka tu mara shuleni mara sokoni bila utaratibu unaoeleweka.
usaLama gani wa mgombea wa chadema kweli ndoto za kufikirika nani atamdhuru si lolote si chochote
Watu walishudia Gari la Mrema likisukumwa toka DIA hadi makao ya ya NCCR-MAGEUZI kwa wakati huo, lakini aliishia kunawa mkuu. Huyu NASSARI ameshaonesha ni LEMA type akili zake si za Maendeleo kwa Wana-Arumeru subirini muone atakavyoangukia pua. Huwezi kutafuta umaarufu kwa kubebwa. Sera kwanza kwa wananchi. Nasikia kuna kundi maalumu limeandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha abebwe, abebwe , abebwe. Sio kusudio la wananachi.
Jana Chadema ilikosa watu katika mikutano yake ndio ikamulazimu Mgombea wao kujipitisha pitisha katika masoko, shuleni na misibani hakika upepo kwao unaweendea vibaya sanaHivi nini kilitokea jana kwenye kampeni za CDM? Ilikuwa purposely done au vipi manake niliona kwenye TV kama vile kampeni hazikuwa organised jamaa anazunguka zunguka tu mara shuleni mara sokoni bila utaratibu unaoeleweka.
magamba hamueleweki ninyi,mnaweza mkamwakyembee mgombea wetu,na tena hatuwapendi sana na tena subirini tu!
Ulitegemea uone organization nzima ya kampeni kwenye TV, sitegemei kuwa hii ni akili yako au unauliza kwa niaba ya kina ritz na Rejao.Hivi nini kilitokea jana kwenye kampeni za CDM? Ilikuwa purposely done au vipi manake niliona kwenye TV kama vile kampeni hazikuwa organised jamaa anazunguka zunguka tu mara shuleni mara sokoni bila utaratibu unaoeleweka.