Wahusika mnaliona hili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahusika mnaliona hili??

Discussion in 'JF Doctor' started by OGOPASANA, Jan 20, 2012.

 1. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  heshima kwenu wadau,
  jamani, kuna hawa wajasiliamali wa kutoa huduma za ukunga wa kienyeji (waganga wa jadi) ambao wamefanya tabia siku hizi kwa kufanya marketing ya biashara zao kwa kubandika vibao vya matangazo katika nguzo (mistimu) ya TTCL na Tanesco kuanzia barabara kuu hadi vichochoroni... hii ni halali?? wahusika wanaliona hili?

  Nawasilisha.
   
Loading...