Ben R Mtobwa, aliandikia kitabu chake cha ''Pesa Zako Zinanuka'' na sasa ndio nimeamini kuna watu pesa zao zinanuka badala ya kunukia.
Maskini hutumia muda mwingi kuwazungumzia matajiri ila matajiri wanatumia muda mwingi kuzungumzia utajiri wao na mipango yao,hawana muda wa kuwazungumzia maskini.
Kwenye uongozi wa ,John Pombe Joseph Maguful, waliokuwa wanacheka ndio wanalia na waliokuwa wanalia ndio wanacheka.Harbinder Singh Sethi na James Buchard Lugemarila walipo sasa hawakutegemea kama wangeweza kuwapo.Hakuna ajue ya kesho zaidi ya Mungu.
Deo Haule Filikunjombe ,ametangulia mbele ya haki taifa linamkumbuka na wananchi wanamkumbuka .wewe waziri kijana na mbunge kijana upo hai na watu hawatambui mchango wako -badilika na kuwa mzalendo na tetea maslai ya Taifa na wape maskini na wanyonge haki yao ili uache alama kwenye mioyo ya Wa-Tanzania.
Life is like an ice cream enjoy it before it melts.