Daaah hii tabia ishakuwa sugu na utapewa huduma isio na kiwango hata wahudumu wa guest house wana haka katabiaHata miye meona! Na ukiwa wa kike mwenyewe kama hawakuoni! Haswaa wa uswazi!
Si na wewe nakununuaga... au umesahau..??napata wasi wasi we mnunuzi ndo katabia kako wewe ndo maana umejua mengi... endelea kufunguka
Si na wewe nakununuaga... au umesahau..??
Huyo mwanamume wako unayekuwaga naye bar pengine anawagegeda, sasa wewe ukuja naye unaonekana mvamizi..........
Daaah hii tabia ishakuwa sugu na utapewa huduma isio na kiwango hata wahudumu wa guest house wana haka katabia
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.