Mshahara kihasi gani nimlete classmate wangu.
Kumbe kuna mambo ya kutuma maombi tena kama NECAyo ni maelewano baada ya mtu kutuma maombi ya kazi na kufata taratibu nilizotaja mkuu
Kumbe kuna mambo ya kutuma maombi tena kama NEC
mkuu jitahidi kuajiri warembo tutakuja tuuWanatafutwa wahudumu wawili 2 wa Bar iliyoko Goba jijini Dar-es-salaam!
Sifa za muhudumu!
1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayari kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu.
4. Awe anatokea mkoa wa Dar es salaam.
5. Awe tayari kufuata mkataba/mikataba na ikiwezekana kuiwasilisha katika ngazi za serikali kwa ajili ya usimamizi wa kisheria
6.Awe tayari kuwasiliana na kutoa taarifa zake kama picha na kiasi cha mshahara atakacho hitaji.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0788071388
Wanahitajika haraka iwezekanavyo, na kwa yeyote anaye faham pia wanapopatikana anaweza wasiliana kwa namba hiyo ili kufanya utaratibu wa kuwapata au kuwafikia kwa makubaliano zaidi( mfanikishaji atapewa commission kidogo kama asante)
Ahsanteni
Awe na tako kubwa au dogo?
8.Awe na chura
7.awe tayari kumegwa na wateja
mk
mkuu jitahidi kuajiri warembo tutakuja tuu
Dah..hizi kazi bwana, mshahara tsh. 50,000 alafu huyo mtu ana familia na wazazi kijijini. Mwisho wa siku ni kila siku kuuza 'papuchi' ukimwambia rudi kijijini hataki eti kuna kazi ngumu!
Wanaume wa mikoani sijui mnafeli wapi mpaka dada zenu wanauza papuchi huku mjini.
Kuna mmoja namfahamu ngoja nikuunganishe naye. Sasa mi nahitaji privacy yangu ibaki humu humu, nampa namba apige.
Hio kazi na kuuza papuchi ni hivi 🙅Dah..hizi kazi bwana, mshahara tsh. 50,000 alafu huyo mtu ana familia na wazazi kijijini. Mwisho wa siku ni kila siku kuuza 'papuchi' ukimwambia rudi kijijini hataki eti kuna kazi ngumu!
Wanaume wa mikoani sijui mnafeli wapi mpaka dada zenu wanauza papuchi huku mjini.
Baa itakuwa na wahudum wawili???
Mkuu Nipe namba ya mmoja wapo hao namba D..Hahaha hapana mkuu nafasi zilikua zimebaki mbili tuh wanahitajika wanne mpaka sasa wamepatkana watatu