Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,314
- 152,113
Nina hakika licha ya UKAWA kuja na sera ya kutoe elimu bure mpaka Chuo Kikuu na pia kuahidi kufuta mikopo kwa wote waliokuwa wanadaiwa na Bodi ya Mikopo,bado kuna wahitimu wengi tu wa Vyuo Vikuu pamoja na wazazi wao walikataa kuipa kura UKAWA na sasa wataanza kulalama baada ya kuanza kubanwa kurejesha mikopo hiyo.
Mimi nasema kwasababu sisi ni wanafiki na hatupendi kuwapa nafasi wapinzani,basi huu ni wakati wa kuvuna tulichopanda kwani hata mwaka 2010 CHADEMA waliposema elimu bure bado watanzania wengi hawakuchagua upinzani.
Ni wakati wa kuisoma namba na kuwakumbuka UKAWA na sera zao bora.CCM imewapumbaza wengi na wengi wamekuwa watumwa wa hiki chama kifikra hata kama mtu ni msomi.