Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Ilianzishwa kisiasa.Si ndio hizi kozi mpy za mafuta, gesi na madini znapigiwa debe ndio zipo sokoni? Kwani imekuwaje?
Ina watu wachache lakini haina ajira, ndugu yangu, kama umepanga kusoma kozi hii bora uhame, watu wana masters zao lakini wapo mtaaniKwani wanaoisoma namba ni petroleum tu, halafu ni course yenye watu wachache tena wenye ufaulu wa juu, wacha kila mtu asome kile apendacho na kuridhishwa nacho.
nilikua najaribu kuandika shairi ndugu yanguJifunze kuandika na kuwasilisha mada
wanao zipigia debe hawataweza kukuajili, wanapiga debe tu, watu wanarudi china na kuwa joblessSi ndio hizi kozi mpy za mafuta, gesi na madini znapigiwa debe ndio zipo sokoni? Kwani imekuwaje?
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma
watu wana PHD zao namba wanaisoma
namba shufwa wanazisoma
namba witiri namba tasa,
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma
Wewe una degree yako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?
Mdogo mdogo wangu, mdogo wangu, usiiguse petroleum
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba,
usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma
watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma,.
Ww mwenye two yako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo,
Kawaulize chekechea,
huu ni mwaka wa tano,
kwa watalaam wa petroleum,
Kama na wewe unapenda bac chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum,
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
Weka vzuri hela yako, kusoma namba ni kazi.
Namalzia kwa kusema, petroleum itakuumiza,
Naweka karamu chini nawe achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemisry itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta.
Angekuwepo profesa Muhongo wangekula shavuIlianzishwa kisiasa.
ππ³ππSema nini..inawezekana ulikuwa na nia njema ila umeandika kishambenga sana
upo sahihi mkuu.Bana Ngudu Wasomi
Niwape kidogo ushauri maisha kuhusu na elimu uliyosoma
Tuanze na hii Petrolium Engineering, hii ni sawa na Chemical Engineering
kama unaomba kazi si lazima utafute kazi ya petroleum engineering, jieeleze umesoma nini na inahusiani vipi na kazi unayoomba hata kama kazi ilikuwa ni Production Engineering kwenye Food Indusry, Chemical Manufacturing Industry, Material Indusrty
hata kama umesoma tofauti na kazi unayoomba, jaribu kujieeleza ni jinsi gani kozi uliyosoma ina husiana na kazi
Kama wazungu wanavyosema THINK OUTSIDE THE BOX
Ulichoandika ni ukweli mtupu. Ila wale wa Udom wote walipiga shavu.Petroleum ilianza UDOM College of Earth Sciences (COES) mwaka 2010/2011 ndio walikua mwaka wa kwanza kuingia.
Walikua wanafunzi 7 tu darasani. Mmoja wao ni Uganda so Tanzanian walikua 6 tu. Wote wanajuana na wanatembea kama ndege kwa pamoja.
Mwaka 2011/12 walikuja wanne tu. Yaani darasani madogo walikua wanne tu.
Sasa Tatizo likaja 2012/2013. Siasa zikaingilia hapo Serikali kwa kupitia Wizara ya Madini ikaleta wanafunzi kama 60 hivi na zaidi, wakawa wanafadhiliwa na HESLB na Wizara pia.
Kama haitoshi mwaka uliofuata UDSM nao wakaanzisha hiyo course.
Kipindi hiko Mtwara ina heat [emoji91] kila mtu anawaza gesi ya Mtwara tu.
Sasa serikali imeyabana hayo makampuni ya gesi ata hayaajiri tena tegemeo pekee ni TPDC ambao nao kwa mwaka wanaweza ata wasiajiri ata mtu mmoja.
Ulivosema mtoa mada ni kweli, hii course ingekua vizuri wawe na limited number ya wanafunzi.
Ulichoandika ni ukweli mtupu. Ila wale wa Udom wote walipiga shavu.
Baada ya hapo sasa ... Ni viduku tu.