Mtu akishndwa kupata alama za kumwezesha kupangiwa A level hawez kupangiwa chuo mkuu ...... wanaopangiwa chuo haimaanishi hawakufikisha alama za ufaulu ila ni sehemu tuh ya kuchaguliwaWana MMU naombeni mnifahamishe kama wahitimu wa kidato cha nne 2018 ambao hawakupata alama zakuwawezesha kwenda A level je ni kweli wamepangiwa vyuo? Na kama ni kweli wapi naweza angalia