tupo hapa alumn wa ITA,yaani pale ni mgodi wa kutoa tax consultants in tanzaniaNi wapi wahitimu wa shahada ya kodi wanaweza kupata ajira kama TRA wameamua kuwatosa katika interview iliyopita. Je, hiki chuo kinatambulika na kimesajiliwa? Mwenye wazo lolote kuhusu hiki chuo na upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wake atujuze tafadhali.
acha umbumbumbu wew,u.d wan course ya Tax...au unaropok tu.hcho xo chuo n high school km jite,chuo mlimàni
n.b zingatia hilo
sidhani kama jina la chuo ndo kigezo cha kupata kazi..Hao wana Ija wapo wengi kazini na sio mahakamn tu kana udhaniavyoHata wale wa Lushoto Institute of Judicial Administration, mahakama isipo waajiri huwa wanaenda wapi? Kuna tatizo pia kwa vijana wa JKT,au hawa ndio mgambo wa manispaa nchini.
well said!!hata Rita walikuwepo wengi wa Azania na Ija but kupata kazi kunatokana na ww na juhudi zako jina la chuo halikusaidii lolote pale ni ww na uwezo wako..Kuna jamaa zangu walisoma chuo cha azania college of management kipo upanga kinatoa sheria ngazi ya cheti na stashahada walikuwa kwenye usahili na watoto wa ija tume ya utumishi wa mahakama lakini walibahatika kupata kazi huko na hao wa ija walitoswa . Cha msingi ni kujieleza na kupita kwenye usahili tu haya mambo ya chuo kipo chini ya wizara hakuna kitu. Kama usahili ukifanya vibaya ndo basi tena.