Wahisani wamegoma kutoa misaada

Wahisani wamegoma kutoa misaada

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Kuna tetesi kuwa wahisani wamegoma kutoa hela hivyo halmashauri nyingi ziko katika wakati mgumu wa kutekeleza mipango yake iliyojipangia kwa mwaka 2012/2013.

Kama tetesi hizi ni za kweli basi tunawajibika kuelimisha serikali yetu mbadala wa kutegemea wahisani.
 
MDOMO NYUMBA YA MANENO.

Hata kama unataka kusema uongo changanya na ukweli kidogo.

NI TETESI butu haina uzito wa kuikimbiza JF kwa ajili ya mjadala.
 
Wacha weee, na trip zote zile asee???
 
Hiyo ni kweli kabisa, mpaka sasa asilimia zaidi ya 50 za Fedha hazijatumwa katika halmashauri . Na imewia ugumu kwa halmashauri kutimiza malengo iliyojiwekea katika mpango wa bajeti wa mwaka tajwa.
 
MDOMO NYUMBA YA MANENO.

Hata kama unataka kusema uongo changanya na ukweli kidogo.

NI TETESI butu haina uzito wa kuikimbiza JF kwa ajili ya mjadala.

wewe endelea kupiga porojo huku tukiangamia!halmashauri zinasuffer na hakuna wa kuwasemea.hiki ni kifo cha ccm
 
MDOMO NYUMBA YA MANENO.

Hata kama unataka kusema uongo changanya na ukweli kidogo.

NI TETESI butu haina uzito wa kuikimbiza JF kwa ajili ya mjadala.

We mama porojo acha unafiki na uvivu wa kufikiria; Tafadhali kwenye issues za msingi usilete porojo zako; Si lazima uwe na degree kufahamu ni jinsi gani Halmashauri zetu zilivyo hoi kifedha; Kwa kukusaidia kama hufanyi kazi halmashauri, muulize ndugu yako, jirani yako, au hata rafiki yako anayefanya kazi halmashauri mojawapo akupe ukweli wa mambo, sio kutuletea hapa ushabiki wa ------ tu.
 
Kama sisi wenye nchi tumeshindwa kuchangia kwa nini wafadhili wachangie?
 
Mkuu usipende kuokota maneno mitaani na kuyaleta JF ukiambiwa uwataje hao wahisani.
 
We mama porojo acha unafiki na uvivu wa kufikiria; Tafadhali kwenye issues za msingi usilete porojo zako; Si lazima uwe na degree kufahamu ni jinsi gani Halmashauri zetu zilivyo hoi kifedha; Kwa kukusaidia kama hufanyi kazi halmashauri, muulize ndugu yako, jirani yako, au hata rafiki yako anayefanya kazi halmashauri mojawapo akupe ukweli wa mambo, sio kutuletea hapa ushabiki wa ------ tu.
ni mazoea yao kuficha ukweli!miradi mbalimbali ya halmashauri imekwama kwa kuwa fedha hazijaletwa kwa wakati.nitoe mfano,fedha ya health busket fund imeletwa halmashauri kwa quarter moja tu na sasa tuko quarter ya tatu!unategemea mipango ya halmashauri itatekelezwa kama ilivyopangwa?kwa nini serikali isikiri hili waziwazi?
 
Kama sisi wenye nchi tumeshindwa kuchangia kwa nini wafadhili wachangie?

hapa ndio nataka tufike!kwamba ni lazima tuweke syrtegy ya kujitegemea!ni upuuzi kutegemea wahisani.
 
Kuna tetesi kuwa wahisani wamegoma kutoa hela hivyo halmashauri nyingi ziko katika wakati mgumu wa kutekeleza mipango yake iliyojipangia kwa mwaka 2012/2013.

Kama tetesi hizi ni za kweli basi tunawajibika kuelimisha serikali yetu mbadala wa kutegemea wahisani.

Mfumo CAMERON
 
Back
Top Bottom