Wahindi na warabu ndio wanao ilea CCM

Wameshikiria
Onyo kari
Jiurizeni
Bila kujari
Wanavyozani...
Bora wahindi na waarabu wanaijua lugha ya Taifa.
We rudi kwenu tu
 
Uhusika was wafanya biashara wakubwa kujifanya kufngamana na Serikali zilizo madarakani n Jambo la kuliangalia kwa Makin Mana hao ndio wahisani wao wakuu.
Mtupe na mifano ya nchi ambazo wafanyabiashara wakubwa hawafungamani na serikali ili nasi tujifunze
 
Sio ubaguzi hao wahindi wanakuja kwetu kuharibu na kuwekeza kwao. Huko kwao mtu mweusi wanamuona kama takataka halafu wakija kwetu kwasababu ya upumbavu wa watawala wetu ndio wanao pewa kipaumbela cha miradi yote ya serikali.
Wakiondoka ndo zitaisha shida zako?
 
Hii hoja haina mashiko, kumbukeni hawa ndugu zetu wenye asili ya Kiasia na Kiarabu wengi wao ni Wafanyabiashara, tokea siasa za mdumo wa vyama vingi ulipoingia Nchini kuna baadhi yao walijaribu kuingia kwenye vyama vya Upinzani lakini chamoto walikiona kutoka kwenye serikali ya chama cha Mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…