Wahindi na Ukwepaji kodi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahindi na Ukwepaji kodi Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiroroma, Mar 15, 2010.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Jamani naumia, naumia, naumia hata sijui nimlilie nani katika hili jambo nililoliona mchana wa leo !

  Nilikuwa maeneo ya Kipawa karibu na Sido Mkoa nikashuhudia magari makubwa ya mizigo kibao yakitoka ndani ya godown zilizoko katika eneo hili ,Nikabainishwa kuwa hayo magari yamepakia marobota kede kede ya mitumba iliyoshushwa tangu Ijumaa kutoka kwenye kontena zipatazo hamsini za futi 40 zilizotarajiwa kupeleka nchi jirani za Rwanda, Burundi,Zambia na Congo.Kumbe ulikuwa ni mzigo wa transit sasa unauzwa locally!!Ni kiasi gani cha mabilioni ya Ushuru yamekwepwa katika hali hii?.Na nilipodadisi zaidi nikaambiwa maafisa wa TRA wakija huwa magari yanafungiwa ndani ya godown na watu kukitoa.Na huu ndo mchezo wa mahali hapa miaka nenda rudi.Tunalalamika miundo mbinu yetu mibovu hatuna hospitali za kutosha ,shule hazina vifaa nk nk.Lakini kumbe sisi wenyewe tunawasaidia wahindi kukwepa ushuru ambao ni mapato ya serikali ya kuweza kufanya yote hayo.Wadau nisaidieni kuwajulisha wahusika walau wawakamate tu tunusuru hayo mapato yanayopotea.
   
 2. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mkuu taarifa hizi unaweza pia kuwasilisha katika mamlaka husika (i.e TRA) ambao wao wakiona kama kuna makosa wanaweza husisha vyombo vya dola.
   
 3. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukisia utumwa ndio huu. Hawa jamaa wanatufanya wajinga alafu na kutucheka. They have their bodies in Tanzania, their heart in India and their money in Canada!
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Yalianza toka Amir Jamal!
  Alifia Canada n akazikwa Canada!

  Waganda wanajua Amin Dada alikuwa kichaa,lakini cross section ya Waganda wengi wansema akiuwa sahihi kuwafukuza hawa!Hawa watu ni corrupt in nature hasa kwenye nchi kama zetu ambapo hatuna demokrasia.Thus whu watazidi kuilamba SISIEM,maana ndio inawalinda,halafu wanaifund !
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ndo hivyo tena si tunajiridhisha eti Mtanzania mwenye asili ya asia hahahahah inakula kwetu vibaya mno jamaa wanatajirika kwa sanaaaaaaaaaaaa
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hawa wahindi si watu kabisa, pamoja na kukwepa kulipa kodi, kutoa rushwa bado hawaridhiki na kuanza kutubagua ndani ya nchi yetu. hilo liko wazi kwa wengi. ila mimi nimepiga marufuku kuwa nakwenda mfano kwenye mahoteli yao, hata nikitaka kununua kitu mara nyingi nakwenda kwa mangi! halafu mtu mwingine anakwambia usiponunua kwa mhindi uchumi utashuka! ujinga mtupu! tena wanawacheka waziwazi!
   
 7. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Huu ndo ukweli Byasel.
  Hawa watu wapowapo tu TZ hasa kutunyonya tu na kudidimiza uchumi wetu. Na jamaa walivyo wajanja, ukifika kwenye ofisi na maduka yao wametundika picha za marais wa TZ na ni wanachama wazuri sana wa CCM na hukichangia sana chama wakiwa na kumi zao vichwani mwao.
   
 8. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni vizuri tukaongea kama watanzania, sio kubagua wengine kama wahindi, na wengine waswahili. this is dangerous, na huwa haileti solution hata siku moja. hapa bongo kuna watz weusi wenzetu wengi sana wanakula kodi, hao pia tuwataje, sio kwamba kodi ikiliwa na mtz mweusi tunaona haiumi, ina uma zaidi ya yule wa toka rangi nyingine, huo ni ubaguzi mbaya kupita wote katika karne hii. remember what happened in Rwanda, walianza kwa chuki ndogo ndogo kama hizi, baadaye wakaagiza makontena ya mapanga toka china, wakachinja wenzao, damu bado inawalilia hadi leo. NINACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBA, upandikizaji wa chuki in terms of race tz hautakiwi kabisa, lets learn from our neighbors, tz kuna tension kubwa sana kama hizi, sanasana kwenye mambo ya dini, mihadhara etc, na kwenye rangi,,,watu wanapandikiza chuki hivihivi tu na tunawaona. kama tunapambana na ukwepaji kodo, tufanye bila ubaguzi wa rangi.

  hao watz wenye asili ya mashariki, wamekuja hapa wengine tangu karne ya pili, hawajui kwao, hata kama wana uraia canada, weusi pia wana uraia nje. walikuja hapa wengine kabla hata wangoni hawajaja toka south africa because of mfecane war, kuna weusi wengi sana wamehamia toka mozambique, zambia, malawi, kenya, na nchi jirani waliwakuta hao unaowaita wahindi hapa. kama ni kutaka nchi, basi wahindi wangesema wangoni waliohamia toka south si watz...this is mbaya sana. tuelimike wakuu.
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  kama wote tungelipa kodi nchi ingekuwa mbali sana
   
 10. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hapa hatuna maana ya kuleta ubaguzi bali tunasema hali halisi ilivyo. Inaonekana huwajuwi wahindi wewe.
   
 11. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kujua kuwa hawa si wazalendo wakati wa uchaguzi 1995 walihamia Kenya kwa muda kupisha uchaguzi ili kama vurugu zitatokea basi wao wawe salama.

  Hawa jamaa ni wakwepaji kodi wazuri sana, wanakimbilia kuichangia CCM only 2% ya koda waliyoikwepa na sisi tulivyokuwa mazuzu tunawafagalia sana na hata kuwapatia nafasi za uongozi kwenye nchi yetu. Tujiulize hivi hakuna watanzania(Waafrika-weusi) waliozaliwa India wenye uraia wa India?, Je kuna mmatumbi yoyote India au Iran ni elected leader?, Tanzania inawezekana.

  Tukisema wanakimbilia Oooh! huo ni ubaguzi wa rangi Tanzania hatu uhitaji, Ila wao wanapowatenga wahindi wenzao wanaooa au kuolewa na watu weusi its right. Ila wakae wakijua kuwa one day watatakiwa kuonesha uzalendo wao ama watakuwa held accountable. Ni watu wanaoona native Tanzanians ni chaka la kujitajirisha, wanaajiri watu wanawalipa mshahara kidogo kwenye payroll wanaoverstate na kuongeza expenses kwenye vitabu vyao na ukizisoma always wao ni watu wa ku-make loss every time but they don't go bust. TRA inabidi wa-rely on estimations for Tax purposes badala ya Annual reports ambazo ni fictitious kwa hawa mabwana/mabibi.

  Ili Tuendelee tunahitaji "Chinese model" maana na wao walikuwa wacommunist kama sisi ila wameweza kubadili muelekeo kwa kuweka sheria kali yaani ukikamatwa unahujumu uchuni ni kitanzi tu, imesfanya manyang'au wote kukimbia na kuacha honest people wakuze uchumi. Mtikila was right then and is right now and will always be right mpaka hawa wakwepa kodi wajirekebishe.

  Ila na sisi wamatumbi tumo kwa sana tu kwenye ukwepaji kodi japo vibiashara vyetu ni small capital businesses
   
 12. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mwana wa Mungu swala la ubaguzi umelileta wewe hapa nimeongelea kukwepa kodi kunakofanywa na wahindi nilio waona mimi jana ,Uhalifu ni uhalifu tuu hauangalii rangi bwana!Wewe kodi zetu zitateketezwa na watu wasio na uchungu na Taifa letu wewe unasema ubaguzi??Napata mashaka na wana wa Mungu wa aina yako tuwasamehe tuu kwa kuwa hamjui msemalo!!!
   
 13. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi wahindi tu ndo wala kodi wajameni, wewe hapo unalipa kodi hapo ulipo? unafikiri nchi hii ni ya weusi tu? hata weupe pia ya kwao bwana mkubwa. ukianza kuwabagua hao unaowaita wahindi, anza kwanza na wangoni, wayao kule kusini, wanyasa kule mbambabay nyasa lake, na mipakani, kwani hao unaowaita wahindi walikuja katika ardhi hii kabla yao.
   
 14. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Linaloongelewa ni la watu wasio wazawa ambao ni wahindi wanakwepa kulipa kodi zenye kumwendeleza mzawa,Na mzawa anabaki kuwa kibarua kwake siku zote! Hili si jambo la kufanyia mzaha kabisa kama ambavyo Mwana wa Mungu unavyofanya.Mngoni,au Msafwa unayemzungumzia analipa kodi kila akiuza mazao anakatwa kodi.Wewe kibarua ulichonacho cha kuuza magazeti unakatwa kodi.Achilia mbali bidhaa zinazoingizwa nchini kutoka nje ya nchi !!Mie nakwambia kama hujui wahindi duniani kote ni wahujumu uchumi !Mimi sioni haya kusema kuna ubaguzi kwani hakuna mahali Mhindi anafanya biashara kwa uhalali 100%.Ni jinsi yao ya maisha waliyojipangia full stop!!!!!
   
 15. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bado kazi ipo maana nina uhakika kuwa tayari TRA wanajua kwa jinsi mtandao unavyofanya kazi. Wao nao wamenyamanzishwa kupatia fadhila kwa ccm
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Sisi iko dugu moja bana!
   
 17. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwani mzawa tanzania ni nani, ni mngoni aliyekuja karne ya kumi na ngapi tu? au ni mhindi aliyekuja tangu karne ya pili?, je ni mtu mweusi tu ndo mzawa? na je, kina chemkapa kule kusini tuwaweke upande gani, je wale wanyasa ambao wako kule mbinga wanaoongea kinyasa sawa tu na kimalawi tuwaweke kama wazawa? na je, wenzetu kule kigoma ambao wengi walitoka congo na burundi/rwanda miaka mingi ni wazawa? wamasai ambao leo wako tz kesho kenya ni wazawa? KAMA NI UZAWA TZ, USIONGEE KABISA, MZAWA KWA DEFINITION YAKO TZ NI MGOGO, MHEHE, WATU WA SINGIDA NA MITAA YA KATI HAPO. WENGINE WOTE HAMNA HAJA YA KUJIITA WAZAWA KWA DEFINITION YAKO YA KUWABAGUA WATU WENYE RANGI NYINGINE KAMA SI WAZAWA. unaelewa kijana? stop racism, haitakuletea faida yoyote.

  piga ukwepaji wa kodi bila kumention rangi wala kabila. unaelewa?
   
 18. M

  Magezi JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tatizo hapa ni utawala wa kipumbavu wa CCM
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu yaani hutaki kuelewa kwamba Tanzania kuna wahindi hawalipi kodi? Kama na wewe ni mhindi basi tumia fursa hii kuwambia wenzako kwamba kuna siku mtarudishwa meerut kwa makahaba wa kihindi.
   
 20. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hauna point yoyote ile kuniambia hivyo. mimi si mhindi, mimi ni mtanzania. naweza kuwa mweusi, naweza kuwa mweupe, hilo si la kulieleza hapa. chamaana ni kwamba, hatutakiwi kuongelea urangi hapa, just step into their shoes kama ungekuwa wewe, babayako, babu wa babu yako alizaliwa hapa, hata kama unasafiri au kuweka hele nje, hili si tatizo, kwani hata mimi nina mamilioni mengi tu nje na ni mweusi. ungejisikiaje mtu akikubagua kwenye nchi uliyozaliwa? unapoteza muda wako tu hapo, pinga rushwa, usipinge uhindi au uharage, au ungano etc, international community is watching over you right there, na hauna uwezo hata wa kuwarudisha hao watu unaowaita wahindi huko meertu, kwasababu hawajazaliwa huko na hawanamakazi huko unakosema. pole.punguza hasira lakini.
   
Loading...