Wahindi na kampuni zao

Wahindi na kampuni zao

keytte

Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
21
Reaction score
4
Aje wandugu? Eti ni kwanini katika mahojiano ya kazi na wahindi wanauliza maswali ya familia yako. Mfano baba na mama yako wanafanya kazi gani? Kwenu mpo wangapi?
 
Wahindi wengi ni maskini sana wanakuja kutajirikia Tanzania ndiyo maana wao wakipata kazi wanaleta mpaka bibi mzaa babu Tanzania maana maisha kwao ni tough.Sasa huwa wanauliza maswali ya namna hii kujua una wategemezi wangapi kama wao
 
Umetoa jibu la swali lako Mzee, wanauliza hivyo kwa sababu wao ni Wahindi! Kama huamini cheki sinema zao!
 
Hahaaaa halafu ukishaanza kuulizwa hivyo ujue lazima wakupe kazi...wahindi bhana...!!very fun smtms
 
Back
Top Bottom