wahi kiwanja cha bei nafuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wahi kiwanja cha bei nafuu.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mwananyiha, Sep 11, 2012.

 1. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wana jf nimeona niwaletee taarifa ya kiwanja kinachouzwa maeneo ya Salasala Dar kwa bei ya 6.5m tu. Ukubwa wake ni 25 kwa 22 mawasiliano ni 0712232849
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Salasala iko wapi katika Dar???? Kigamboni, Mbagala au??????

  Dadavua zaidi kama kimepimwa au laaah!!!!
   
 3. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  salasala ni maeneo ya mbezi beach . Hakijapimwa
   
 4. Mzani

  Mzani Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo Salasala ipo mbezi beach ipi? na kiwanja kipo km/m ngapi kutoka barabara kuu?
   
Loading...