Wahi Kadi ya Mbeya City

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu Norman Sigala pamoja na Meya wa jiji la Mbeya Ndugu Athanas Kapunga wakipokea kadi ya ushabiki ya Mbeya City Football Club kutoka kwa Kaimu Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndugu Jema Msuya. Kushoto kwenye picha ni Mkurugenzi wa masoko wa benki ya Posta Mr Deogratius Kwiyukwa.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…