Wahenga wetu na upeo wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahenga wetu na upeo wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by majorbanks, Sep 18, 2012.

 1. majorbanks

  majorbanks JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wakuu
  Nadhani neno wahenga wetu si geni sana miongoni mwetu na wengi wetu tumeshuhudia ukweli uliomo kwenye maono yao kupitia misemo,nahau,methali na mengine mengi.
  Kuna wakati najiuliza,je hawa watu waliexist kwenye nchi yetu hii?
  Na kama kweli walikuwa ni miongoni mwa Watanganyika,iweje leo hii nchi yetu imeshindwa kuwa na kizazi chenye chembechembe za upeo kama wao?
  Upeo wao ni wa hali ya juu sana kiasi kwamba kulikuwa na nafasi ya nchi yetu kuwa mbali na hapa tulipo!!
   
 2. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu, majorbanks.
  Uzalendo ni kitu muhimu sana kwa kila taifa duniani, ndio maana utaona baadhi ya viongozi wa mataifa au wanamichezo mathalani wakiimba wimbo wa Taifa wanatokwa na machozi, ule ni ujumbe tosha. Sasa hapa kwetu hatujui kuenzi vyakwetu angalia haya maneno mazito kwenye wimbo wetu wa Taifa, HEKIMA, UMOJA, NA AMANI. Kila mtoto wa miaka 5 na kuendelea angetakiwa awe anayajua kama sala, hapo hata kuwaenzi wahenga ingekua sio tatizo.
   
Loading...