Spitzkoppe
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 265
- 477
Sijaona mkongwe hapa hii ya juzi inatakiwa tupelekane enzi za pekozi bugaloo raizon miaka HiyoKama amevaa ou uliona wanavaa basi utakua muhenga View attachment 983591
Sent using Jamii Forums mobile app
WeweTuliozaliwa Magufuli anaingia madarakani tunakomenti wapi?
Atuwekee raizon bugaloo mashati yale enzi hizo shikiboHakuna cha Uhenga hapo, hizo fashen si ni za juzi tu?, halafu eti unajiita Mhenga, mfyuuu!!!. Mnalidhalilisha kundi letu sisi Wahenga, Mfano ungeniwekea picha ya Vile Viatu vya BORA, au PUMA au CHACHACHA ningekuona Kweli wewe ni Mhenga, Weka vitu km Lady made, Pekosi, n.k.tukuunge kwenye kundi letu la Wahenga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana. Tramblaa nimewahi kuvaaKama amevaa ou uliona wanavaa basi utakua muhenga View attachment 983591
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaap!!, hapo sawa, Enzi zile za kutumia Vijinga ili kumulika.Atuwekee raizon bugaloo mashati yale enzi hizo shikibo