Wahenga Mpo?

soda iliiitwa fahari sh 70 kama sikosei,std 1hiyo,forodhani PS,chips shilingi Mia,1993.wahenga wengine mtaongezea.
 
Dah nimekumbuka chips sahani 250 kwa kushuru au pdidy Jangwani hiyo

Mihogo kwa kaseja mmoja 30 miwili kwa 50..unashushia na pinquin Basi akhaa!
 
Dah nimekumbuka chips sahani 250 kwa kushuru au pdidy Jangwani hiyo

Mihogo kwa kaseja mmoja 30 miwili kwa 50..unashushia na pinquin Basi akhaa!

Ilikua raha sana aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…