JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
ukabila nyerere alikataza , huoni hata aibu kuongea mambo ya ukabila mwaka huu wa 2012????!!! mimi nadhani ni ushamba tu unakusumbua na mawenge ya kuchaguliwa chuo kikuu , ndo unaanza kujidai eti unataka kuendeleza wenzako.. kama kweli una dhamira ya kweli , fanya mipango ya kuiendeleza tanzania nzima na sio hao wahaya wenzako........ ni hayo tu kaka , , , na sijui hicho chuo umechaguliwa chuo gani kinachokupa mawenge namna hiyo....
Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Hata mimi nipo UDSM , ni sehemu ya kawaida sana chalii wangu.. ningekuomba hata unibebe wewe ila inaonyesha wewe ni mkabila tu , na istoshe nyie wahaya nawafahamu nyie... tabia zenu sio mchezo.. na pale chuo ndo mnajaza kile chuo... anyway lakini HONGERA sana.. na nakupa heshima yako maana unakuja UDSM-COET ,,,,, bila hivyo ningekuona mshamba...... CONGRATS once again....Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Ndo yale yale waambie nimeenda kuchukua milioni 30 ha ha ha !! Wahaya bana si ungesma 2 umechaguliwa UDSM mpaka utwambie Bsc aseeeeh!!!
Wasalaam wana Jamvi.
Kama wewe ni muhaya au ulizaliwa katika mkoa wa Kagera au una ndugu yako aliyefanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka 2012/13 basi hii inakuhusu.
Binafsi nimeona ni busara kuwakutanisha wahaya wote tulioko vyuoni na tuliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu,ili.:
1.Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza wenzetu(wahaya) walioko chini yetu.
2. Tuweze kupanga mikakati ya kuendeleza na kuwasaidia wahaya wenzetu kielimu walioko vijijini na waweze kuwa kama sisi.
3. Kupitisha sheria ndogo kwa wahaya itakayokuwa inawaamuru kila Muhaya kufikia kiwango cha elimu cha angalau shahada ya kwanza.(atleast 1st degree)
4. Kupanga mikakati ya kuiendeleza Kagera kiuchumi na kielimu , na ifikapo 2020 kila kijiji kiwe na graduates wasiopungua 20.
"WAHAYA ELIMU KWANZA"
NB: KAMA WEWE UNA JAMBO LOLOTE LA KUCHANGIA JINSI YA KUFANIKISHA HAYA BASI KARIBU LAKINI KAMA UNATAKA KUTUKANA NA WEWE KARIBU.
Ukabila hivi bado upo?
Ukabila hivi bado upo?
kwa upande wangu nasoma agricultural engineering sua, pamoja sana mkuu.
mshamba tu na wewe , huna lolote... na nyie majamaa mnapendaga sana kujionyesha na kuwa na maringo na kujitangazia tangazia,,,.... sijui hata mna shida gani , kweli jiungeni angalau mmfanye mpango wa kubadilishana
inaonyesha huyu jamaa ni mtu wa kujidai sana ndo maana hata kubebwa na mtu kama huyu sitaki , wala hata kufahamiana nae , sijui anadhani watu wengine wanasomea nini!!!! na istoshe hiyo degree program yake anayoebda kuisomea ni ya kawaida sana pale COET ,,,, atuulize sisi kaka zake ,,, bora tu angekaa kimya
kumbe ndo kiform one unaanza chuo sasaivi, ndo maana akili ya ukabila haijakutoka bado umetoka nayo uhayani...kwa kifupi ni muhimu kama utaweka kikao hicho, ili mfundishane kukata magovii msije nayo hapa dsm, huku sisi wenzenu huwa tunakata mikono ya sweta. kifupi, ile miaka ya kuamini kuwa wahaya ndio wasomi wengi imepita, siku hizi hata wasukuma wasomi wengi mno, hadi masai...acha ukabila hautakufikisha popote zaidi ya kuumia moyo.Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Wazo kama hili lilipaswa kutolewa mwaka 1200 lakini siyo 2012. Hata hivyo ni wazo hata kama lina walakini maana kuwaza na kuwazua ni haki ya mtu. Nimefurahi kuona watu bado wana mawazo yanayokwenda nyuma badala ya kwenda mbele. Endleeni hivyo ila wenzenu wanawaacha kwa mbali sana jamani.