Wewe mtoa mada kuwa muwazi. Ndio maana nimekuuliza umetumwa? Nahisi wewe ni muhusika umeona noma kusema ukweli. Kama ni kweli shemejiyo sifa wazitakiani? Au unataka kumendea vya watu? ALafu kweli rafikiyo anakwambia girlfriend wangu mtamu, is it usual. Au ndio na wewe umeanza kuwa na interest na huyo shemejiyo?
kuna mshikaji wangu anampenz wake mhaya tokea kanyigo bas mwenyewe anamsifia anajua mambo kweli, kwa wanaojua tabia or sifa za wanawake / watu wahuko mtwambie!
alipomsifia alimsifia nini hebu longa kwanza............................
Wahaya mwanzo mwishooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unaulizia ukweli ili iweje bana? We fanya namna hii.............then siquirt it otherwise utapigwa topito!!!