Wahaya na watani zao

king kan

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,644
Reaction score
2,091
Wadau wa jf, leo ni siku maalumu. Lakini umaalumu wake naomba uwahusu wale wote ambao tulipoteza akili kwa sababu ya "kibuza magezi". Mi kwangu ubwabwa kweli ni kibuza magezi sijui kwa wengine.
 
Wadau wa jf, leo ni siku maalumu. Lakini umaalumu wake naomba uwahusu wale wote ambao tulipoteza akili kwa sababu ya "kibuza magezi". Mi kwangu ubwabwa kweli ni kibuza magezi sijui kwa wengine.

"Mawe ni Ma Winnie. Mawe nto ni Kokunaga. Mawe ntokazi ni Kanulamuno,
Aba nibo banyonkize, Ekyo mbendela Orwongoba tibaiyula bibisi"
 
Sijakusoma

kwa mhaya wali wa sikukuu ulikuwa unatufanya tupoteze network utotoni. Kibuza magezi maana yake ni kipoteza àkili. Udogoni wale ulikuwa ukipikwa watoto walikuwa hawafanyi kazi zozote wanasubiri kula msosi basi. Yaani huchezi mbali na jiko.
 
Wadau wa jf, leo ni siku maalumu. Lakini umaalumu wake naomba uwahusu wale wote ambao tulipoteza akili kwa sababu ya "kibuza magezi". Mi kwangu ubwabwa kweli ni kibuza magezi sijui kwa wengine.

Ubwabwa ulibatizwa jina la Kibuza Magezi-Kichanganya Akili-kutokana na kuoatikana kwa nadra mkoani Kagera pia, kwa miaka hiyo hata upishi wa wali kwa wakazi wa mkoa huo ulikuwa duni sana-wengi waikuwa wanapika bokoboko!

Siku hizi naamini siyo Kibuza Magezi kwani ni chakula kinachopatikana karibu sehemu zote na wengi wanajua kuupika wali vizuri!
 
Akina rutta na bishanga pwiriz kamu zisi wey, infwakiti zisi iz noti fwea
 

ni kweli ila bado kuna dalili za kubuza magezi watoto kama unabisha test kupika ugali sikukuu uone.
 
Akina rutta na bishanga pwiriz kamu zisi wey, infwakiti zisi iz noti fwea

infwakiti rutta na bishanga sasa hivi hawawezi kukamu zisi wei bikoz maindi zao infwakiti zimefokasi kwenye hicho hicho kibuza magezi. Yaani muda huu netweki zao hazisomi hamna cha madame B wala nini.
 
Akina rutta na bishanga pwiriz kamu zisi wey, infwakiti zisi iz noti fwea

Wajad I tell Yu zis.....nimesoma mpaka no class.
Can you join me for Easter Monday tomorow in mane,Seychelles,I can send Yu my learjet
 
Last edited by a moderator:
Actually ndio maana nimewazoesha watoto wangu kuwapeleka wakapate lunch Serena hotel kila inapofika Siku kuu kama hii.
 
Mumenichekesha sana mpaka nimetaka kudondosha Ipad yangu niliyoinunua last summer nilipokwenda US kumfanyia shopping wife.
 
Wajad I tell Yu zis.....nimesoma mpaka no class.
Can you join me for Easter Monday tomorow in mane,Seychelles,I can send Yu my learjet

Thank you brother! Have a nice Easter Monday! I'm sorry I can not be there tommorow.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha kweli kabisa ndio maana mimi nimechagua ndizi leo lakini ti kibuza magezi,amagezi ni ngenda muno!
Wadau wa jf, leo ni siku maalumu. Lakini umaalumu wake naomba uwahusu wale wote ambao tulipoteza akili kwa sababu ya "kibuza magezi". Mi kwangu ubwabwa kweli ni kibuza magezi sijui kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…