malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
Wahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya.Wakuu je nikweli wahaya wanajua dawa za magonjwa ya moyo
Ha ha ha ha acha bas mkuu arc tenaWahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya.
AiseeWahaya wanajuwa sana dawa ( siyo wote lakini) mpaka wana ARV za kihaya mtu mwenye ukimwi anarudi mpya.