Wahaya bwana!!!!!!!!!!!!

Wahaya bwana!!!!!!!!!!!!

awuyegani

Senior Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
147
Reaction score
35
Hebu sikiliza hili tangazo la kifo!!!!!
Ndugu Deus Rweyemamu wa masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwane Jose Rweyemamu, kilichotokea jana a
Australia baada ya kupaliwa na burger, akiwa anaendesha
Hummer yake mpya!!!! msiba utafanyika kwa aunt yake Marekani... Taarifa ziwafikie ndugu wote, Peter Ronaldo Rweyemamu wa Portugal, Cyreen Kardashian Rweyemamu wa USA... Innocent Torres Rweyemamu wa Spain, Azeez Walcot Rweyemamu wa England, na house girl Marie aliyekuwa Dubai shopping.
 
heee haivutii sana kama aloipost profesor mukandara pale akimwambia benson bana aende kwa rwekaza kumuita baregu waende kwa tibaijuka walipokuwa wanamuaga dr rwitama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom