Wahaya Bravoooo-Cheki hii KAGERA DAY


KOKUTONA wanachangia Lowassa ashinde uraisi 2015 au.................Why EL ambaye siye muhaya na yeye hatujui hata alichochangia...............fafanua hapo
 
KOKUTONA wanachangia Lowassa ashinde uraisi 2015 au.................Why EL ambaye siye muhaya na yeye hatujui hata alichochangia...............fafanua hapo

Ni mtaalamu wa kuzungukia harambee na michango na misaada TANZANIA nzima, bila kujali dini, rangi kabila, kanda na kadhalika .......Hulijui hilooo kaka yangu RUTTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…