Its high time you did that!...Mkikaa kimya mnaacha nafasi kwa mafisadi kujipangia jinsi ya kuzila hizo fedha !
Mkuu angalia kaziwanazofanya madaktari na mshahara wanaopata ndio utagundua ni kwanini wanagoma.Mimi nimefikia mahala nahisi kama Madaktari ni wabinafsi na wanajiona wao ni muhimu kuliko kada zingine, kwanini wao tuu? Ukiangalia viwango vya mishaara ya madaktari ni vikubwa kuliko mtumishi yeyote Serikali kuu
bado wabunge nao kuna siku watagoma kwa sababu maslahi duni
Mdau Azan pole wahasibu ile kitabu yao IFRS hairuhusu migomo ila kama maslah ndogo tumia prorata basis mambo yatulia. Ushanisoma1.Waalimu wote serikalini wapo chini ya Wizara ya Elimu.
2.Madaktari wote Serikalini wapo Wizara ya Afya na
3.Wahasibu wote serikali kuu wapo chini ya Wizara ya Fedha
Na kada balimbali Serikali kuu zipo chini ya wizara mbalimbali.
Kitu kinachonishangaza ni kwamba Nimekuwa nasikia kilio cha waalimu, na Madaktari tuu kuhusiana na Masuala ya Maslahi. Mbona sijawahi kuwasikia Wahasibu wakilalamika na kutishia kugoma japo Mishahara ya Wahasibu Serikalini ni midogo kuliko ya Madaktari?
Mimi nimefikia mahala nahisi kama Madaktari ni wabinafsi na wanajiona wao ni muhimu kuliko kada zingine, kwanini wao tuu? Ukiangalia viwango vya mishaara ya madaktari ni vikubwa kuliko mtumishi yeyote Serikali kuu
Na wasisahau kuwa wanasomeshwa na serikali kwa fedha nyingi sana.
Vile vile wanatumia muda wao wa kazi kuhudumia hospitali nyengine na vidispensary vyao.
Wakumbuke vyote hivyo wanapodai mishahara na mambo mengine.
Samahanini sana madaktari lakini he ya wanafunzi mumeyageuza yenu tena! Mumeteka nyara hoja yao mukawaweka pembeni.
Wahasibu wanatumia vizuri kalamu zao kujiongezea kipato