Wahasibu saidia hesabu hii

Wahasibu saidia hesabu hii

Egoinya

Senior Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
192
Reaction score
398
Mkopo wenye makato ya sh.100,000/ ,,,riba 17%,,,muda wa mkopo miaka 10. Je,nitakopeshwa sh ngapi!? Kumbuka bima 1% inakatwa kwa mkupuo.
 
: Utapokea Sh. 99,000 baada ya makato ya bima. (Kumbuka: Riba ya Sh. 170,000 itakuwa ikilipwa pamoja na mkopo wa msingi kwa muda wa miaka 10, lakini hiyo haikui makato ya awali.)
 
Mkuu hujanielewa,,, namaanisha mkopo wenye makato ya tsh.100,000 laki moja,, kwa muda wa 10 yrs ,,,na riba ya mkopo 17% na bima ya 1% ikatwe kwa mkupuo
 
: Utapokea Sh. 99,000 baada ya makato ya bima. (Kumbuka: Riba ya Sh. 170,000 itakuwa ikilipwa pamoja na mkopo wa msingi kwa muda wa miaka 10, lakini hiyo haikui makato ya awali.)
Kumbuka hyo laki si mkopo bali ni makato ya mkopo kwa miaka 10
 
chukua 100,000x120= 12,000,000/= kama jumla ya mkopo pamoja na riba ndani ya miaka 10.
Kumbuka hii ni 117% ya mkopo hivyo ukitafuta 100% (ambayo ndio mkopo wako) ya 12,000,000/= unapata kwenye 10,256,000/= hivi.

Hii sijafanya kihasibu zaidi ila kimahesabu. Nakubali kukosolewa kihasibu pia.
 
Shukrani sana kaka umenipa mwongozo mzr
 
Mkopo wenye makato ya sh.100,000/ ,,,riba 17%,,,muda wa mkopo miaka 10. Je,nitakopeshwa sh ngapi!? Kumbuka bima 1% inakatwa kwa mkupuo.
Hapo kwa mwaka utakuwa unalipa 1,200,000 (100,000× 12)

Kwa miaka 10 ni 12,000,000 ( 1,200,000 (1,200,000× 10)

KWa kuwa riba itakuwa ni 170% kwa miaka kumi ( 10× 17) jumla utalipa mkopo ( 100% + 170% faida ya benki)

Mkopo utakuwa ( 100/ 270 ) × 12,000,000 ~4,400,000.

Hivyo mkopo around 4,400,000 na faida ya benki itakuwa around 7,600,000.

HESABU hiyo Ina makadirio kidogo
 
chukua 100,000x120= 12,000,000/= kama jumla ya mkopo pamoja na riba ndani ya miaka 10.
Kumbuka hii ni 117% ya mkopo hivyo ukitafuta 100% (ambayo ndio mkopo wako) ya 12,000,000/= unapata kwenye 10,256,000/= hivi.

Hii sijafanya kihasibu zaidi ila kimahesabu. Nakubali kukosolewa kihasibu pia.
Si kweli hata kidogo

Kwa makato ya 100,000 kwa mwaka ni 1,200,000 na kwa miaka kumi ni 12,000,000.

Kumbuka malipo ya jumla = mkopo + 170% ya mkopo kama faida = 270% ya alichokopa
 
Inawezekana ukawa sahihi mkuu.
Mimi nilifanya kimahesabu zaid nikichukulia rate ya mkopo inabaki constant 17% ndani ya miaka 10 yote ya mkopo.
Nashukuru kwa shule huru hii uliyotoa hapa.
 
Back
Top Bottom