Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Amani iwe kwenu.
Sasa imethibitika kuwa kundi kubwa la wahariri na wahariri wa vyombo vya habari hususan magazeti makanjanja kuwa katika hali ngumu kiuchumi baada ya uchaguzi mkuu octoba,2015.
Ikumbukwe kuwa waandishi wa habari wengi walinufaishwa na siasa za makundi ndani ya CCM.Wahariri wengi walitajirika kwa kuwapamba wanasiasa.wengi waliacha kazi na kuwa PR binafsi wa wanasiasa,hapa Pasco,Paakali,Abuu,Salva nk. ni ushuhuda.
Baada ya uchaguzi wengi wamekuwa katika sintofahamu.JPM kafuta bahasha kwa waandishi na ni wazi wengi hata humu JF wamenuna na ndio chanzo cha kanjanja kibonde kutokwa povu hewani.Ikumbukwe pia JPM hakuwa chaguo la wahariri wengi sababu hakukata pesa,hofu imejaa.
Na baada ya Magufuli kukabidhiwa CCM siasa za makundi na mitandao haitakuwa na nafasi so hali ngumu kwa wanahabari.Ikumbukwe tu mradi wa kumsafisha Luwasa ulihusisha matumizi ya pesa nyingi,wanufaika wakuu ni wanahabari...maelfu walikuwa kwenye payroll na posho kununua ushawishi kwa wananchi.Naum imethibitika yamesitishwa octoba,2015 kwa mujibu wa mkataba.
Hali imekuwa tete hawajui washike moja au mbili.Hamkani si shwari!
Nawasilisha!.