Hizo ndio maskani au sanctuary za wamalawi na kawe sijui kwanini. Hivi wajumbe wa nyumba kumi wanatimiza wajibu wao kweli. Nadhani hawa watu iwe ni ajira ya watu waliosoma na kuwa trained. Wao wanasubiri deal tuu za mtaani
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Mkoani Dar es Salaam linawashikilia wahamiaji haramu 42 waliokamatwa eneo kijitonyama kisiwani Wilayani Kinondoni.
Ao wajumbe watimize wajibu wao wanalipwa na nani, kazi ya kujitolea hiyo kaka