We jamaa ni mpuuzi sana. Hiyo 1.5t kaulize Kamati ya PAC ya Mama Kaboyoka akuambieni namna Serikali ilivyotoa maelezo hakuna fedha iliyochukuliwa ni ujuha wenu wa kutojua taratibu za kiuhasibu na mifumo inayotumika. Ndo maana unaona wenzako siku hizi wamekaa kimya hawaiongelei tena isipokua nyinyi Nyumbu mliokaririshwa kama CD ya ku burn mpaka ipate scratch ndo itaacha kuimba huo wimbo . Halafu ufuatilie na zile fedha za ruzuku za CDM karibu 80% zilizotumika kumlipa Mwenyekiti wenu madeni hewa bila ya kuwa na risiti, CAG pia alieleza kwenye taarifa yake msijisaulishe.Masha hakununuliwa bali alirudi ccm kwa aibu baada ya cdm kukosa nafasi ya urais, na yeye kukosa nafasi ya ubunge wa Afrika mashariki. Huyo Masha ni wale waliokatiwa jina la dharau na mkulu la ng'ombe waliokatwa mkia. Waitara ndio aliyenunuliwa kwani alikuwa na cheo na alikuwa na chuki binafsi na mbowe, hivyo ccm kwenye uzia wakapenyeza Rupia. Huo ubunge kapewa na cheo kama Ulimbo wa kuwavutia wanacdm wengine. Kama kweli kuunga mkono ilikuwa inatoka rohoni mbona baada ya ile 1.5t kukata hamna anayehama?
Mwita hakuhama CDM kwasbbu ya chuki binafsi na Mbowe bali alipinga umangi meza na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa milele. Alihitaji uwepo wa Demokrasia ndani ya chama chenu kama mnavyoihubiri nje ya chama chenu.