Wahamiaji CCM: Mwita Waitara vs Lau Masha mmoja anapeta mwingine anasota je dhana ya kununuliwa bado mnaiamini?

Masha hakununuliwa bali alirudi ccm kwa aibu baada ya cdm kukosa nafasi ya urais, na yeye kukosa nafasi ya ubunge wa Afrika mashariki. Huyo Masha ni wale waliokatiwa jina la dharau na mkulu la ng'ombe waliokatwa mkia. Waitara ndio aliyenunuliwa kwani alikuwa na cheo na alikuwa na chuki binafsi na mbowe, hivyo ccm kwenye uzia wakapenyeza Rupia. Huo ubunge kapewa na cheo kama Ulimbo wa kuwavutia wanacdm wengine. Kama kweli kuunga mkono ilikuwa inatoka rohoni mbona baada ya ile 1.5t kukata hamna anayehama?
We jamaa ni mpuuzi sana. Hiyo 1.5t kaulize Kamati ya PAC ya Mama Kaboyoka akuambieni namna Serikali ilivyotoa maelezo hakuna fedha iliyochukuliwa ni ujuha wenu wa kutojua taratibu za kiuhasibu na mifumo inayotumika. Ndo maana unaona wenzako siku hizi wamekaa kimya hawaiongelei tena isipokua nyinyi Nyumbu mliokaririshwa kama CD ya ku burn mpaka ipate scratch ndo itaacha kuimba huo wimbo . Halafu ufuatilie na zile fedha za ruzuku za CDM karibu 80% zilizotumika kumlipa Mwenyekiti wenu madeni hewa bila ya kuwa na risiti, CAG pia alieleza kwenye taarifa yake msijisaulishe.

Mwita hakuhama CDM kwasbbu ya chuki binafsi na Mbowe bali alipinga umangi meza na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa milele. Alihitaji uwepo wa Demokrasia ndani ya chama chenu kama mnavyoihubiri nje ya chama chenu.
 
Masha ni shushu na amebibea katika yeye kazi ni kwenda kubomoa kuna uwalikini anItengezea air Tanzania kushika soko Tanzania na east afrika
 
We jamaa ni mpuuzi sana. Hiyo 1.5t kaulize Kamati ya PAC ya Mama Kaboyoka akuambieni namna Serikali ilivyotoa maelezo hakuna fedha iliyochukuliwa ni ujuha wenu wa kutojua taratibu za kiuhasibu na mifumo inayotumika. Ndo maana unaona wenzako siku hizi wamekaa kimya hawaiongelei tena isipokua nyinyi Nyumbu mliokaririshwa kama CD ya ku burn mpaka ipate scratch ndo itaacha kuimba huo wimbo . Halafu ufuatilie na zile fedha za ruzuku za CDM karibu 80% zilizotumika kumlipa Mwenyekiti wenu madeni hewa bila ya kuwa na risiti, CAG pia alieleza kwenye taarifa yake msijisaulishe.

Mwita hakuhama CDM kwasbbu ya chuki binafsi na Mbowe bali alipinga umangi meza na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa milele. Alihitaji uwepo wa Demokrasia ndani ya chama chenu kama mnavyoihubiri nje ya chama chenu.

Ngoja nikujibu kwa namna ulivyoanza ili akili ikukae sawa. We hanithi, hayo majibu serekali waliyowapa hiyo kamati ya PAC ni mambo ya chumbani, huenda ni yale yale ya mapenzi ya kinyume na maumbile. Tulitaka tusikie hayo majibu kwa masikio yetu tupime. Hao unaosema siku hizi wako kimya baada ya majibu, ni lipi liliwahi kujadiliwa hapa duniani milele? Ruzuku ya cdm wanaopaswa kufuatilia ni wanachama wa cdm, wao ndio wanufaika wa hiyo ruzuku. Ukiona wanachelewa nenda wewe kaiulizie.

Kilichomtoa cdm huyo Waitara ni chuki binafsi dhidi ya Mbogwe na ndio maana akipanda jukwaani anaishia kumkejeli Mbowe na cdm. Kama tatizo ni demokrasia huko cdm, basi achukue fomu ya kugombea urais akiwa huko ccm kwenye hiyo demokrasia ili tuone hicho kilio chake kikifanyiwa kazi. Unalalamika ulipokuwa hakuna demokrasia kisha unapoingia unapewa kugombea bila kura ya maoni na uchaguzi wa kuvunja taratibu za uchaguzi kimachomacho, huo sio uendawazimu ni nini?
 
Mwita Waitara yupo vizuri sana kichwani, kule CDM walikuwa wanampotezea muda tu. Mbowe sio saizi ya Waitara, mkurya ni mtu ambaye unamuona kabisa jinsi alivyo na nguvu kifikra na kiuweledi.

Damu inamchemka, akitaka maendeleo ya jamii anayoiongoza. Ni mkweli kwa maana ya kuwa tayari kutoa ushikiriano kikazi na hata kihisia.

Masha alidanganywa na status quo ya kipindi cha JK. Alishindwa kusoma alama za nyakati, akajaribu kumpelekesha bosi wa TCAA kuhusiana na fastjet, akasahau kuwa bosi yule ni mmoja wa washauri wa karibu wa JPM, hivyo hawezi kujivunjia heshima ili eti utaalam usiheshimiwe.

Inabidi ajipange kwa sababu JPM ni tofauti na JK, huwa hakubali kuchukua upande kirahisi tu, anapima suala zima lipo vipi na maslahi ya nchi yatafaidika vipi. Masha ajipange upya, hizi fitina za kutaka mtu fulani aonekane mbaya, zitamshushia hadhi kama akiziendeleza.
 
Mwita alikuwa mwanaccm about 10yrs ago, na aliondoka huko ccm baada ya kuhitilifiana na uongozi wa juu hasa Makamba. Ni mtu mwenye kisirani cha kikurya na ndio maana ana asili ya siasa majitaka za kiccm.
namjua sana mwita.nilishiriki kwenye kampeni zake akiwa chadema kwa rasilimal zangu.mungu atamlipa
 
Mwita Waitara yupo vizuri sana kichwani, kule CDM walikuwa wanampotezea muda tu. Mbowe sio saizi ya Waitara, mkurya ni mtu ambaye unamuona kabisa jinsi alivyo na nguvu kifikra na kiuweledi.

Damu inamchemka, akitaka maendeleo ya jamii anayoiongoza. Ni mkweli kwa maana ya kuwa tayari kutoa ushikiriano kikazi na hata kihisia.

Masha alidanganywa na status quo ya kipindi cha JK. Alishindwa kusoma alama za nyakati, akajaribu kumpelekesha bosi wa TCAA kuhusiana na fastjet, akasahau kuwa bosi yule ni mmoja wa washauri wa karibu wa JPM, hivyo hawezi kujivunjia heshima ili eti utaalam usiheshimiwe.

Inabidi ajipange kwa sababu JPM ni tofauti na JK, huwa hakubali kuchukua upande kirahisi tu, anapima suala zima lipo vipi na maslahi ya nchi yatafaidika vipi. Masha ajipange upya, hizi fitina za kutaka mtu fulani aonekane mbaya, zitamshushia hadhi kama akiziendeleza.
wewe unaongea kwa hisia tyuu humjui waitara ni mtu wa aina gani mkuu
 
Ngoja nikujibu kwa namna ulivyoanza ili akili ikukae sawa. We hanithi, hayo majibu serekali waliyowapa hiyo kamati ya PAC ni mambo ya chumbani, huenda ni yale yale ya mapenzi ya kinyume na maumbile. Tulitaka tusikie hayo majibu kwa masikio yetu tupime. Hao unaosema siku hizi wako kimya baada ya majibu, ni lipi liliwahi kujadiliwa hapa duniani milele? Ruzuku ya cdm wanaopaswa kufuatilia ni wanachama wa cdm, wao ndio wanufaika wa hiyo ruzuku. Ukiona wanachelewa nenda wewe kaiulizie.

Kilichomtoa cdm huyo Waitara ni chuki binafsi dhidi ya Mbogwe na ndio maana akipanda jukwaani anaishia kumkejeli Mbowe na cdm. Kama tatizo ni demokrasia huko cdm, basi achukue fomu ya kugombea urais akiwa huko ccm kwenye hiyo demokrasia ili tuone hicho kilio chake kikifanyiwa kazi. Unalalamika ulipokuwa hakuna demokrasia kisha unapoingia unapewa kugombea bila kura ya maoni na uchaguzi wa kuvunja taratibu za uchaguzi kimachomacho, huo sio uendawazimu ni nini?
Naendelea kukuita Mpuuzi... kwasababu siyo tusi. Kama ulikua hujui maana yake ni mtu unaefaa kupuuzwa. Sasa nashangaa jinsi unavyoporomosha matusi. Kwa majibu yako haya inaonyesha dhahiri jinsi upeo wako ulivyo mdogo hususan kwenye mambo ya siasa. Kwahiyo wacha NIKUPUUZE.
 
Hapa kinachokubalika na kukupa heshima ni lugha ya kiungwana. Kama unajiheshimu na una hoja haukupaswa kutumia neno mpuuzi,nyumbu nk. Sasa itazame hii ID vizuri, ninamudu vizuri sana hoja za kiungwana na nazitendea haki, ila nina uwezo mkubwa wa kutumia lugha chafu mpaka ujute kuja huku jukwaani. Una hoja ilete kistaarabu tuijibu kistaarabu, lakini ukianza kuchanganya vijihoja vya kishenzi na lugha za kashfa akili tutairudisha kwenye mstari. Ngiri jike ww.
 
Hivi mnjua maana ya kununuliwa!??

..!!
Watu wanachukua maana halisi ya kutoa pesa na kununua hapana!
Mtu anaweza kununuliwa hat kwa ahadi tu mfano cheo, ulinzi wa mali yake nk.
Watu wanaopinga kununuliwa nadhani hawafikiri sawasawa. kwa sababu ikiwa mbunge anaondoka na hapohapo anapewa nafasi ya kugombea upande mwingine na baada ya muda mfupi kuteuliwa waziri utaasemaje hakuwa ameahidiwa hizo zawadi kwa hiyo kununuliwa kupo! na si lazima iwe alilipwa taslimu japo nayo ina nafasi kubwa katika hatua za mwanzo
 
wewe unaongea kwa hisia tyuu humjui waitara ni mtu wa aina gani mkuu
Ninamuongelea Waitara ninavyomuona, ni mtazamo wangu. Kama yeye ni kaka yako au mjomba wako, mimi hainuhusu.

Ninaongelea Waitara ninayemuona kikazi, simuongelei Waitara nisiyemjua. Ninamheshimu ndio maana jina lake ninaliandika kwa herufi kubwa, tofauti na wewe ambaye hauna herufi kubwa hata moja!.
 
Masha na Mwita Waitara ni wanaccm waliohamia Chadema kwa mbwembwe na baafse kurejea CCM. Wapo waliodai kuwa wawili hawa pamoja na wale wengine wamenunuliwa na CCM na sisi wengine tukabisha.
Juzikati nilimsikia Masha akilalamika kupitia Clouds tv kuwa serikali inamnyanyasa kwa kuxifungia ndege zake za Fastjet na kwamba yeye ana!iliki 68& ya hisa za fastjet.
Kwa upande mwingine Mwita Waitara kahamia CCM na kupewa uwaziri moja kwa moja na sasa anapiga Hapa Kazi Tu.

Wale waliodai wawili hawa walinunuliwa njooni hapa mjitetee.

Nawatakia Christmas njema!
Kama Waziri anaweza kumpiga ngeta mteja wake na kumpokonya 90 Million, si ajabu CCM ikipora pesa kutoka kwa walionunuliwa.
Watazirudisha tu kwa njia yoyote.
 
Hapa kinachokubalika na kukupa heshima ni lugha ya kiungwana. Kama unajiheshimu na una hoja haukupaswa kutumia neno mpuuzi,nyumbu nk. Sasa itazame hii ID vizuri, ninamudu vizuri sana hoja za kiungwana na nazitendea haki, ila nina uwezo mkubwa wa kutumia lugha chafu mpaka ujute kuja huku jukwaani. Una hoja ilete kistaarabu tuijibu kistaarabu, lakini ukianza kuchanganya vijihoja vya kishenzi na lugha za kashfa akili tutairudisha kwenye mstari. Ngiri jike ww.
Naendelea kukupuuza.
 
Uwezo wa kujenga hoja wa mleta mada ni wa kiwango cha chini kabisa kuwai kutokea kwa mwaka 2018.
Uwezo wake uko chini ya sifuri. Kununuliwa na kusoma/ kutosoma namba havina uhusiano. Wewe unakubalije mtoto wa jirani kupewa urithi na baba yako,ingali wewe upo? johnthebaptist
 
Sasa wewe unategemea mtu ujipeleke mwenyewe halafu upete. Hakuna hiyo, ungesubiri uje kununuliwa.
 
Back
Top Bottom