Wahamiaji CCM: Mwita Waitara vs Lau Masha mmoja anapeta mwingine anasota je dhana ya kununuliwa bado mnaiamini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,543
141,353
Masha na Mwita Waitara ni wanaccm waliohamia Chadema kwa mbwembwe na baafse kurejea CCM. Wapo waliodai kuwa wawili hawa pamoja na wale wengine wamenunuliwa na CCM na sisi wengine tukabisha.
Juzikati nilimsikia Masha akilalamika kupitia Clouds tv kuwa serikali inamnyanyasa kwa kuxifungia ndege zake za Fastjet na kwamba yeye ana!iliki 68& ya hisa za fastjet.
Kwa upande mwingine Mwita Waitara kahamia CCM na kupewa uwaziri moja kwa moja na sasa anapiga Hapa Kazi Tu.

Wale waliodai wawili hawa walinunuliwa njooni hapa mjitetee.

Nawatakia Christmas njema!
 
Masha hakununuliwa bali alirudi ccm kwa aibu baada ya cdm kukosa nafasi ya urais, na yeye kukosa nafasi ya ubunge wa Afrika mashariki. Huyo Masha ni wale waliokatiwa jina la dharau na mkulu la ng'ombe waliokatwa mkia. Waitara ndio aliyenunuliwa kwani alikuwa na cheo na alikuwa na chuki binafsi na mbowe, hivyo ccm kwenye uzia wakapenyeza Rupia. Huo ubunge kapewa na cheo kama Ulimbo wa kuwavutia wanacdm wengine. Kama kweli kuunga mkono ilikuwa inatoka rohoni mbona baada ya ile 1.5t kukata hamna anayehama?
 
Kweli una akili kidogo sana dhana ya kununuliwa iko palepale hawakununuliwa ili wasinyanyaswe au wapige kazi Walinunuliwa ili WAUDHOHOFISHE UPINZANI
 
Masha na Mwita Waitara ni wanaccm waliohamia Chadema kwa mbwembwe na baafse kurejea CCM. Wapo waliodai kuwa wawili hawa pamoja na wale wengine wamenunuliwa na CCM na sisi wengine tukabisha.
Juzikati nilimsikia Masha akilalamika kupitia Clouds tv kuwa serikali inamnyanyasa kwa kuxifungia ndege zake za Fastjet na kwamba yeye ana!iliki 68& ya hisa za fastjet.
Kwa upande mwingine Mwita Waitara kahamia CCM na kupewa uwaziri moja kwa moja na sasa anapiga Hapa Kazi Tu.

Wale waliodai wawili hawa walinunuliwa njooni hapa mjitetee.

Nawatakia Christmas njema!
Acha utoto. Waitara "alinunuliwa" Masha alijipeleka ili kulinda maslahi yake ya kibiashara-kampuni yake ya uwakili akilenga kutumia fursa ya kukatwa mkia kufanya lobbying ya kazi za kisheria nakadhalika pamoja na mahesabu ya kuja kuwekeza kwenye mambo mengine kama haya ya Fasjet nakadhalika. Ambacho hakufahamu Lau, awamu hii imeiingiza serikali katika kufanya biashara. Kwa hiyo usijaribu kupotosha hapa!
 
Masha yeye aliingia CCM kabla ya 1.5 T haijapotea serikalinj hivyo in wazi hakununuliwa
 
Masha akuwa na chuki na Mbowe wala kuwahi tukana cdm,ili upewe cheo ni bidii yao kutoa matusi dhidi ya Mbowe na upinzani Kwa ujumla cc waitara,katambi,musiba analijua hilo matusi yake ndio kusurvive Kwa vijarida vyake kupitia ruzuku
 
Masha fastjet kwenye biashara hawezi shindana na ATC jiwe icon,atapigwa rafu zote,atasagwa kama ngano,afanye biashara zingine ambazo jiwe hayupo
 
Masha hakununuliwa bali alirudi ccm kwa aibu baada ya cdm kukosa nafasi ya urais, na yeye kukosa nafasi ya ubunge wa Afrika mashariki. Huyo Masha ni wale waliokatiwa jina la dharau na mkulu la ng'ombe waliokatwa mkia. Waitara ndio aliyenunuliwa kwani alikuwa na cheo na alikuwa na chuki binafsi na mbowe, hivyo ccm kwenye uzia wakapenyeza Rupia. Huo ubunge kapewa na cheo kama Ulimbo wa kuwavutia wanacdm wengine. Kama kweli kuunga mkono ilikuwa inatoka rohoni mbona baada ya ile 1.5t kukata hamna anayehama?
mwita mwikwabe kanunuliwa
 
Masha na Mwita Waitara ni wanaccm waliohamia Chadema kwa mbwembwe na baafse kurejea CCM. Wapo waliodai kuwa wawili hawa pamoja na wale wengine wamenunuliwa na CCM na sisi wengine tukabisha.
Juzikati nilimsikia Masha akilalamika kupitia Clouds tv kuwa serikali inamnyanyasa kwa kuxifungia ndege zake za Fastjet na kwamba yeye ana!iliki 68& ya hisa za fastjet.
Kwa upande mwingine Mwita Waitara kahamia CCM na kupewa uwaziri moja kwa moja na sasa anapiga Hapa Kazi Tu.

Wale waliodai wawili hawa walinunuliwa njooni hapa mjitetee.

Nawatakia Christmas njema!
Masha alifuata usukuma,
 
Hivi mnjua maana ya kununuliwa!??

Fatilieni masha ana biashara ngapi...ni mkurugenzi wa makampuni mangapi!? Katikiswa Mara ngapi na serikali hiii....afu njooni mseme kama hajanunuliwa..!!

Kwa taarifa yako ni watu wachache sana waliokuwa wanajua kwamba Masha alikuwa cdm. Huyo Masha alikuwa anajulikana na Lowassa na viongozi wachache wa cdm. Hana mvuto wa kisiasa zaidi ya kucheza na fursa kwenye ngazi za juu. Pia alikuwa mlevi wa madaraka wakati alipokuwa waziri wa mambo ya ndani. Acha afanyiwe hila kama alizofanya yeye ili ajue nguvu ya karma.
 
Masha na Mwita Waitara ni wanaccm waliohamia Chadema kwa mbwembwe na baafse kurejea CCM. Wapo waliodai kuwa wawili hawa pamoja na wale wengine wamenunuliwa na CCM na sisi wengine tukabisha.
Juzikati nilimsikia Masha akilalamika kupitia Clouds tv kuwa serikali inamnyanyasa kwa kuxifungia ndege zake za Fastjet na kwamba yeye ana!iliki 68& ya hisa za fastjet.
Kwa upande mwingine Mwita Waitara kahamia CCM na kupewa uwaziri moja kwa moja na sasa anapiga Hapa Kazi Tu.

Wale waliodai wawili hawa walinunuliwa njooni hapa mjitetee.

Nawatakia Christmas njema!
Hoja yako kuijibu inahitaji common sense tu....Kuna mbunge na raia ambaye kwa maoni yangu alirud ili apate cheo,mwingine alirubuniwa kwa ahadi ya kupewa uwazir.Lengo la Magufuli ni kupambana na wabunge wahamie kwake akiamini ndio njia ya kuidhofisha CHADEMA
 
namjua mwita kama mtu hohe hahe lakini aliyependa kutawala. alikuja mjini kurudia shule akiwa mtu mzima hata kiswahili tulimfundisha huo u ccm kautoa wap

Mwita alikuwa mwanaccm about 10yrs ago, na aliondoka huko ccm baada ya kuhitilifiana na uongozi wa juu hasa Makamba. Ni mtu mwenye kisirani cha kikurya na ndio maana ana asili ya siasa majitaka za kiccm.
 
Back
Top Bottom