kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Oct 31, 2013 #1 WAHAMIAJI WAFA JANGWANI: Wahamiaji 87 wa Niger wamekufa kwa kiu karibu na mpaka wa Algeria wakivuka Jangwa la Sahara kwenda Ulaya. MCL
WAHAMIAJI WAFA JANGWANI: Wahamiaji 87 wa Niger wamekufa kwa kiu karibu na mpaka wa Algeria wakivuka Jangwa la Sahara kwenda Ulaya. MCL
General8 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 996 Reaction score 863 Oct 31, 2013 #2 Mungu wangu, inasikitisha vibaya, Mola awaondolee Dhambi zao zote maana jinsi walivyokufa ni mateso tosha kabisa
Mungu wangu, inasikitisha vibaya, Mola awaondolee Dhambi zao zote maana jinsi walivyokufa ni mateso tosha kabisa
K kkarumekenge JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 1,708 Reaction score 1,030 Oct 31, 2013 #3 Mtu unakimbia kwenu kwenda kutafuta raha, nitasikitika baadaye
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,788 Reaction score 8,755 Oct 31, 2013 #4 kkarumekenge said: Mtu unakimbia kwenu kwenda kutafuta raha, nitasikitika baadaye Click to expand... Waombeee wpate kumwona mungu huko waendako
kkarumekenge said: Mtu unakimbia kwenu kwenda kutafuta raha, nitasikitika baadaye Click to expand... Waombeee wpate kumwona mungu huko waendako
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 31, 2013 #5 Poleni sana waliofiwa
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Oct 31, 2013 #6 General8 said: Mungu wangu, inasikitisha vibaya, Mola awaondolee Dhambi zao zote maana jinsi walivyokufa ni mateso tosha kabisa Click to expand... Ndio faida za vurugu na kutoweka kwa amani pahala popote!
General8 said: Mungu wangu, inasikitisha vibaya, Mola awaondolee Dhambi zao zote maana jinsi walivyokufa ni mateso tosha kabisa Click to expand... Ndio faida za vurugu na kutoweka kwa amani pahala popote!
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,990 Reaction score 4,361 Nov 1, 2013 #7 Its better wameonyeshwa kuwa maji ni muhimu kuliko hayo ''maisha mazuri'' waliyokuwa wanaenda kuyatafuta.......
Its better wameonyeshwa kuwa maji ni muhimu kuliko hayo ''maisha mazuri'' waliyokuwa wanaenda kuyatafuta.......