Nini maana ya field practical training? Mwaka wa 4 mwanafunzi anafundishwa Management, unataka akae site then Management's afundishwe mwaka gani?Moja kwa moja kwenye mada kwa ufundishaji huu mnaotumia mtaendelea kuzalisha Wahandisi wasio na uwezo kwenye utendaji kazi.
Haiwezekani mwanafunzi anamaliza chuo kichwani ni mweupe yani ukimpa kazi za field anazidiwa na fundi mchundo ambaye hajaenda shule kabisa.
Ushauri wangu,
1.Mwaka wa kwanza na wa pili mwanafunzi asome theory tu.
2.Mwaka wa tatu vijana wajifunze kazi za usanifu(Design Works)
3.Mwaka wa nne vijana wakae site mwaka mzima wakifanya kazi kwa vitendo na kuandaa project za mwisho
Mfumo huu utazalisha wahandisi wenye uzoefu tofauti na sasa kijana anamaliza chuo hawezi kufanya kazi kwa vitendo.
Mainjinia wa Yudisimu wanafundishwa Wizi site na Rushwa makazini, Ulevi na Anasa, Umalaya na Kiburi cha kujiona wanajua kazi kuliko wengine waliotoka vyuo tofauti na wao.Moja kwa moja kwenye mada kwa ufundishaji huu mnaotumia mtaendelea kuzalisha Wahandisi wasio na uwezo kwenye utendaji kazi.
Haiwezekani mwanafunzi anamaliza chuo kichwani ni mweupe yani ukimpa kazi za field anazidiwa na fundi mchundo ambaye hajaenda shule kabisa.
Ushauri wangu,
1.Mwaka wa kwanza na wa pili mwanafunzi asome theory tu.
2.Mwaka wa tatu vijana wajifunze kazi za usanifu(Design Works)
3.Mwaka wa nne vijana wakae site mwaka mzima wakifanya kazi kwa vitendo na kuandaa project za mwisho
Mfumo huu utazalisha wahandisi wenye uzoefu tofauti na sasa kijana anamaliza chuo hawezi kufanya kazi kwa vitendo.
Na kila mwaka utawakuta maonyesho ya SABASABA na mashine ya kufyatulia tofaliBado mwaka wa kwanza wanatengeneza majiko
Naona hapo kwenye nyapu ndo imekuuma sana eeh?!Ninachoshangaa Engineer anaendaje huko Site na SUTI na wapigapicha pick up nzima? Hapo bado ni Admin group kadhaa za Whatsapp.
Mchina SITE Hapo Hapo anajenga kibanda akihitaji nyapu wanachangia moja ya Mama Ntilie anayewapikia
Na kila mwaka utawakuta maonyesho ya SABASABA na mashine ya kufyatulia tofali
Una point nzuri Ila umeteleza kwa kusema fundi mchundo hajaenda shule. Fundi mchundo ni yule mwenye qualifications ya FTC I mean FTC holder au ordinary Diploma holderMoja kwa moja kwenye mada kwa ufundishaji huu mnaotumia mtaendelea kuzalisha Wahandisi wasio na uwezo kwenye utendaji kazi.
Haiwezekani mwanafunzi anamaliza chuo kichwani ni mweupe yani ukimpa kazi za field anazidiwa na fundi mchundo ambaye hajaenda shule kabisa.
Ushauri wangu,
1.Mwaka wa kwanza na wa pili mwanafunzi asome theory tu.
2.Mwaka wa tatu vijana wajifunze kazi za usanifu(Design Works)
3.Mwaka wa nne vijana wakae site mwaka mzima wakifanya kazi kwa vitendo na kuandaa project za mwisho
Mfumo huu utazalisha wahandisi wenye uzoefu tofauti na sasa kijana anamaliza chuo hawezi kufanya kazi kwa vitendo.
Hadi FISIEM itoke ndo mabadiliko yatatokea..Hilo tatizo sio la Jalalani tu kwakweli
Elimu ya Tanzania imejikita zaidi katika Nadharia kuliko Vitendo.
Ndio maana tumeanza kuzalisha Makandarasi kwa miongo mingi tangu baada ya Uhuru wa Taifa hili lakini mpaka Leo hii serikali iliyowasomesha hao Wakandarasi inaona bora kuwaajiri wafungwa wa huko China wanaokuja kutumikia vifungo vyao vya mwisho huku kuliko kuwaajiri Wabongo.
Hebu nipe kampuni moja tu ya Wabongo pekee inayoweza kushikilia tenda ya kujenga Daraja kubwa kama la kigamboni au Flyovers au jengo kama la Ngorongoro Arusha na kulimaliza.
Hili tatizo lipo hata SUA, ambapo wanasomea utaalamu wa kilimo kwa miaka na miaka lakini mpaka leo tunaagiza mbegu kutoka Israel, South Africa, Holland n.k
Hata Mbolea za viwandani eti tunakuja kutengenezewa pale Minjingu na Kalasinga.
Madaktari nao ni kuagiza Madawa kutoka India, UK, na hata Kenya achilia mbali vifaa vya gharama za kupimia.
Hata katika Kiswahili chetu wakija wageni hapa AFRICA basi utakuta Trainers wao wakubwa ni Wakenya.
Hata Kwenye michezo hatuwaamini Makocha wetu badala yake tunamwamini Shindikana kutoka Nigeria.
Tasnia ambayo inafanya vizuri Tanzania naona ni SHERIA peke yake kwa kiasi.
WABILLAH TAWFIQ
Naomba huuu Uzi umfikie JPM! Anaweza kutusaidiaHilo tatizo sio la Jalalani tu kwakweli

The whole Tanzania Education System needs overhaul..ila watu wamepiga kelele wee humu..seems like kila mtu anamnyooshea kidole mwenzie afanye.in the end hakuna kinachofanyika
Fisiem wako tayari kulipa billion 50 kununua wabunge wa upinzani na kurudia uchaguzi. Lakini hawawezi kutoa billion 40 kurekebisha mfumo wa elimu. Upgrading ya elimu inahitaji maboresho katika raslimali watu, miundombinu na mifumo mingine. Kutenga hata bilion 40 kwa mwaka na kwa miaka 5 mfululizo ili kuongeza tija katika reforms hakuna aliyeko tayari kwa sababu tu haoni hilo likichangia upatikanaji wa kura..
Tuna shida aisee.. hadi sielewi viongozi wa tz vichwani mwao kuna kiny.esi au ubongo wa kawaida..
Hata sheria nako ni upupu tu. Wanaweza kesi za kuku na mikataba ya kupangisha chumba ama kuzoa takataka mitaani.Hilo tatizo sio la Jalalani tu kwakweli