Wah: Zito, Mnyika na Regia angalieni vyombo vya habari

GATS

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
240
17
Nimewaandikia nyinyi nijua huwa mnapita humu ndani. Sasa basi nyie waheshimiwa hamuoni umhimu wa kuwa na chombo cha habari cha CDM ambacho kitatujuza mambo ambayo hatuyapati. Mfano ni jana tu Habari za Tabora vyombo vingi vilificha kabisa hizo habari lakini watu wengi walikuwa na nia ya kujua nini kinaendelea.

Tunaomba muonyeshe njia sisi tutachangia uwezo huo tunao tunahitaji watu wa kuonyesha njia tu.

Tumechoka na vyombo vilivyonunuliwa na CCM jamani. Vinachakachua habari sana.
 
Jamani wahusika TV ya CDM lini? Maana mabo mengi yafichwa. Angalia tabora vyombo vingi havikuripoti kungekuwa na chombo huru kingeripoti jana. Jamani whesimiwa onyesheni njia hela tutachangia.
 
...Yah kwa kweli tunahitaji ofisi mpya na kuwa na hivyo vyombo vya habari,watu tupo tayari kuchangia tulichonacho even though hawa CCM wametuibia....
 
nakumbuka tulipata taarifa kuwa by 15th May tutaona update kutokana na swala hilo. Hilo najua linashughulikiwa ila mkumbuke schama cha siasa hakiruhusiwi kuwa na chombo ila wanachama wanaweza kana ilivyo kwa uhuru publications
 
yani mimi sijui wanasubiri nini jamani ndani ya miaka hii mitano tungekuwa na tv yetu tungefanya mambo mengi sana
 
nakumbuka tulipata taarifa kuwa by 15th May tutaona update kutokana na swala hilo. Hilo najua linashughulikiwa ila mkumbuke schama cha siasa hakiruhusiwi kuwa na chombo ila wanachama wanaweza kana ilivyo kwa uhuru publications

Sidhani kama hayo usemayo ni kweli , mbona CCM wana vyombo vyao vya habari kama Radio Uhuru na pia wanamiliki magazeti ya Uhuru na Mzalendo!!
 
Jamani wahusika TV ya CDM lini? Maana mabo mengi yafichwa. Angalia tabora vyombo vingi havikuripoti kungekuwa na chombo huru kingeripoti jana. Jamani whesimiwa onyesheni njia hela tutachangia.

Uchelewi kuambiwa mchochezi...
 
Walisema jambo la vyombo vyao wanalifanyia kazi,na nilisikia kutoka kwa jamaa mmoja ambaye alisema wanaendelea na ujenzi wa makao makuu na chuo
 
Nimewaandikia nyinyi nijua huwa mnapita humu ndani. Sasa basi nyie waheshimiwa hamuoni umhimu wa kuwa na chombo cha habari cha CDM ambacho kitatujuza mambo ambayo hatuyapati. Mfano ni jana tu Habari za Tabora vyombo vingi vilificha kabisa hizo habari lakini watu wengi walikuwa na nia ya kujua nini kinaendelea.

Tunaomba muonyeshe njia sisi tutachangia uwezo huo tunao tunahitaji watu wa kuonyesha njia tu.

Tumechoka na vyombo vilivyonunuliwa na CCM jamani. Vinachakachua habari sana.

Tuko tayari kuchangishana wenyewe kwa wenyewe tuwe na station zote za TV na RADIO
 
ajira hizo jamani na hii ni haki yetu kwa sababu ccm wanayo redio yao so hakuna mtu wa kutukatalia kisheria . wabunge wa chadema Zitto na Regia tunaomba kauli yenu hapa.
HATA MHESHIMIWA SLAA ANAWEZA KUTUJIBU PIA
 
Chadema kama Kikubwa kinatakiwa kijenge ofisi nzuri pia!! Makao makuu ya Chadema hayaniridhishi kabisa...nafikiri uwezo upo

Uwezo upo, kwa idadi ile ya wabunge CDM si masikini hata kidogo! ruzuku ni kubwa na lazima ianze kuwaza mambo makubwa, haiwezi kujenga ofisi zote lakini at least makao makuu na ofisi za mikoa zikae vizuri halafu TV Station Please! ila tv ikija mpango wa kwanza iwe kupata rights za kuonesha Champion league na EPL kama tukiweza na La Liga :)
 
Back
Top Bottom