Ndio anakejeli. Huwezi kumwambia mgumba akufuate bila kumuambia msingi wa huo utabibu wako ni upi. Kuna wanaowaombea wengine kwa Mungu (Maombi), kuna dawa za mitishamba (utabibu) na wengine ni washirikina kama yule wa Mwembe chai ambaye amerithi ushirikina kwa marehemu baba yake.
Sasa mtu akupigie hivi ikiwa ni nje ya imani yake?