Wagombea wengi ni ishara ya nini?

Wagombea wengi ni ishara ya nini?

Wagombea wengi ni ishara ya nini?

  • A. Demokrasia kuongezeka, kwamba kuna muamko wa kugombea

    Votes: 0 0.0%
  • D. Walio madarakani kushindwa kuongoza vema, Kiasi kila mmoja anajipima na kuona anafaa

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    7
  • Poll closed .

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
49
Reaction score
96
Swali hili linalenga kupata maoni ya jumla tu na mtazamo wa wananchi katika kipindi hiki cha vuguvugu la uchaguzi
 
Nikiongezea kwa jibu la ndg. min -me sio ajira pekee bali pia ni sababu za kiuchumi na ubinafsi zinachangia.

Tukiangalia orodha mbalimbali za watia nia wengine ni wafanyabiashara wakubwa sana hapa Tanzania, wengine ni maprofesa, wengine ni wastaafu serikalini, ubunge, Uspika wa Bunge, Uwaziri nk. ambao walikuwa na nyadhifa za juu sana, wengine katika jamii wana ukwasi wa fedha ambazo watatumia kwa miaka mingi na watoto wao mpaka wajukuu.
 
Kamari iliyobaki inayolipa ni kugombea uongozi, ... sasa kwanini watu wasiuwane kuuwania!
NB: Mnaowania uongozi mkaupata, jitahidini sana, mboreshe Uchumi wa nchi na kuzalisha ajira ili chaguzi zinazofuata tuwe 'busy' na mambo yetu tuwaachie ofisi zenu!

😅
 

Bwashee hawa digidigi inaonekana tofauti na uongozi hata buku hawawezi tengeneza kitaa
1753801109499.jpg
 
Tatizo la ajira ndio jibu sahihi
Mkuu, Injinia Hersi kakatwa na wajumbe. Huyu nae ana shida ya ajira?. Nafikiri tatizo ni weledi mbovu wa viongozi kiasi kwamba kila mtu akiwa maarufu tu anajiona anafaa. Vilevile qualifications zetu za kupata viongozi ni nyepesi sana
 
Mkuu, Injinia Hersi kakatwa na wajumbe. Huyu nae ana shida ya ajira?. Nafikiri tatizo ni weledi mbovu wa viongozi kiasi kwamba kila mtu akiwa maarufu tu anajiona anafaa. Vilevile qualifications zetu za kupata viongozi ni nyepesi sana
1753801109499.jpg
 
Back
Top Bottom