Wagombea vinganganizi waonywa

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,765
4,033
Viongozi mbalimbali wa kanisa la Agape Assembles of God la jijini Dar es salaam, wamewashukia baadhi ya viongozi wa siasa wanaongangania madaraka huku wakijua kuwa hakuna mchango wowote waliotoa kwa jamii.Vilevile viongozi hao,wamewasisitizia wananchi kuhakikisha wanachagua kiongozi ambaye siyo fisadi na ambaye atakuwa mstari wa mbele kutetea maslahi ya nchi (Mwananchi,25 Octoba 2010.u.k10)

Ole wao watakaongangania madaraka kwa kuiba kura,jambo hili halitakubalika hata kidogo.Tume ya uchaguzi inapaswa itende haki ili kudumisha amani na upendo.
 
Back
Top Bottom