ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,276
- 7,691
- Thread starter
- #21
Sioni dalili ya hii rasimu kuwa katiba. 2015 tutaenda kwenye uchaguzi kwa kutumia katiba iliyopo...
Hilo ni kweli kabisa na ugumu hasa uko kwenye kuiunda serikali ya Tanzania Bara. Ugumu wake kwenye hii serikali ni kwamba hakuna mtu mwenye legitimacy ya kutengeneza Muundo huo.
Hii inamaanisha kwamba inabidi kwanza katiba hii ipitishwe then ndio mchakato wa kutenengeneza Tanzania Bara uanze de novo. Serikali brand new haina ofisi haina vitendea kati haina watumishi!!! Two years are not enough...